GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Nafikiri wewe ni katika wale wanaoamini kuwa ubunge, uwaziri na vyeo vingine ni nafasi ya watoto wa vigogoAre you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
hatuhitaji Degree ya Nyuklia kusemea matatizo ya maji ya kisarawe.