Uwongo haudumu milele. Ukweli haubadiliki. Makaburu walikuwa na nguvu kubwa ya kijeshi lakini walisalimu amri kwa waafrika weusi. Kuhusu muungano na zanzibar maamuzi ya wengi yatakuja tu kuheshimiwa licha ya nguvu kubwa ya kijeshi inayotumika sasa.
Kwa vile wazanzibar kwa umoja wao wameukataa ukoloni wa tanganyika kupita sanduku la kura magufuli kwa upande wake analazimisha ukoloni kwa kutumia majeshi na vifaru,namtahadharisha magu safari hii ng'ombe aangukavyo ndivyo achinjwavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.