Ushindi wa Rais mteule Dk John Magufuli wafunika kimataifa

Ushindi wa Rais mteule Dk John Magufuli wafunika kimataifa

Tanzania ni nchi inayoheshimika sana duniani na watu wengi walikuwa wanataka ccm ishinde kwani ndio icon ya africa.
 
Angalia asije akawa tingatinga wa kuzidi kubomoa Maisha yako. Nadhani endelea kupambana na Maisha yako maana unachotarajia kisipotokea utaumia unless upo jikon mwa CCM.unakumbuka mkwere alipochaguliwa watu walivyofurahi???unakumbuka ushindi wake ulikuwa asilimia ngapi???cha kushangaza baada ya miaka mitano akaambulia61%,unadhani what happened,angalia hata Huyu wa sasa walivyostruggle wakaambulia 58%,I think the graph is abt to touch zero...so don't be happy and give urself hope.

Kila mtu kama binadamu anastahili kupewa nafasi ya kuonyesha kiwango chake cha uchapakazi, hivyo hata magufuli anastahili kupewa nafasi kama hiyo.
Kwa kuanzia huwa tuna kitu kinaitwa siku 100, tangu kupewa IKULU
 
Ngoja tupeane hizo siku mia kwanza.halafu utarudi kutuambia.
 
nimeamini watanzania ni maiti kwani hata ukiipiga haiwezi kukurudishia. pamoja na kukamatwa kwa kura bado mtanzania unasema uchaguzi ulikuwa wa haki na amani? poor you ccm

yaaan acha tu inauma sana ila ndo hakuna jinsi........eti rais mteule aliyechaguliwa na wananchi...
 
Tatzo sio magufuli ila ni CCM, ingekua kama magufuli angekua vyama vya upinzani mbona angepata kura zote, kama kikwete alivyo pata 2005
 
nimeamini watanzania ni maiti kwani hata ukiipiga haiwezi kukurudishia. pamoja na kukamatwa kwa kura bado mtanzania unasema uchaguzi ulikuwa wa haki na amani? poor you ccm

Kura zilikamatwa wspi wewe mbugira?
 
Back
Top Bottom