Ahadi hewa ya ajira

Ahadi hewa ya ajira

Huu ndo upumbavu wetu WATANZAGIZA mtu siye tulimwajiri bila hiyana yeyote kisha chamani wakamwajiri bila hiyana lakini yeye kutupa ajira zetu kiroho Safi anajisikia eti hewa zimejaa kama siye ndo tulio zileta hewa zinyewe wazilete wenyewe zitutese siye kiukweli aijakaa fear.
 
Msema kweli mpenzi wa mungu,ni bora waseme ukweli kuliko danadana zczoisha,ili watu wajpange wasiogope kwani ajira c io uhai kwanba watu watapoteza maisha,kuliko hv kusubiri pas ya uelekeo,wananunua ndege kwa gharama kubwa wanashindwa kutoa ajira kwa waauguzi,walimu na kada nyingine sa hiyo ndege c itatusaidia kweli wa tabka la chini au wanajimegea wenyewe,kungekuwa na njia mbadala tungemrudisha jk maana aliangalia tbk la chini ,kuliko huyu matako mengi hewa,ukusanyaji kodi mkubwa hatuoni msaada wake,na bdo anataka kubadilisha noti je hizo process anazfanya kwa pesa ipi
 
Inauma saana tumeshadhalilika ngoja tujiajiri maana ndio fimbo yao ila....
 
Samahani mtoa mada, ulikuwa Zanzibar au Tanzania Bara wakati unaongea na hao wakuu wa TAMISEMI?
 
Watu hawajui tu ni jinsi gani nimeokoa mabilioni ya pesa kwa kuchelewesha kutangaza baraza la mawaziri
 
Lack of hope ,nothing to refresh my mind under this situation of lamentation and sorrowness towards government actions to us as job seekers
 
ni rahisi kusema watu wajiajiri, unajiajiri vp na huna mtaji....

poleni mnaosubiri ajira.......
 
Serikali imechelewesha ajira,imeshindwa kuishi kwenye matamko yake,mpaka sasa hatma haijulikani.Wengi wetu tunaumia na tunachofanya ni kulalamika tu,Je hakuna kingine tunachoweza fanya zaidi ya kulalamika? na kibaya zaidi malalamiko yetu tunayatoa mahali kusiko husika.Naomba kutoa rai kwa sisi wote tunaoguswa,tushauriane hapa tujaribu kutafuta namna ya kulimaliza hili,serikali ni wanachi na wanachi ndio sisi.
 
Back
Top Bottom