Twaweza wakwepesha jina la anayeongoza

Twaweza wakwepesha jina la anayeongoza

WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.

ukiwa na mgojwa wako akiwa mahututi hivi unaweza ukamwambia kuwa utakufa?utakachomwambia utamfariji na kumwambia kuwa utapona tu,hata kama ujua kuwa hawezi kupona.bye bye ccm.
 
mwaka huu kuna changamoto ya kutosha na mpira bado unadundadunda.......EL ndo chaguo langu
 
Back
Top Bottom