Recent content by Jerry santonga

  1. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

  2. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Tupunguze Siri Wakuu

    Siri Muhimu lakini lazima tujue jinsi ya kuweka sirini mambo mengine ni vyema kushirikishana na watu wako wa karibu tatizo uaminifu changamoto ndio inafanya wajuba WENGI KUKAZA sana na vitu vyao...Nimepita
  3. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    UMAFIA WA MAWE NA LADHA huu ni umafya sio UMAFIA
  4. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

    Je unaweza kutengeneza App /website nijibu kabla sijakupigia kukupa mchongo
  5. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

    Kila lakheriiiiii...Mungu akutangulie
  6. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    Kaka duuh sasa si ni balaa sero tena
  7. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    WANA INDOOR naonaga kidirisha tu pale
  8. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
  9. Jerry santonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzenu leo nimeaibika

    Askari anafariki taratibu chukua hatua mara ukisoma huwa haurudi nyuma Hapo askari wako anakata roho taratibu
  10. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

    MD wanashinda kitambaa cheupe na buckets za S.Lite shenzi sana hao walipe hiyo mzee
  11. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa manne ya kutafakari baada ya uteuzi wa leo 20/7/022 wa Camillus Wambura, Sirro na Kingai

    Geuza hayo ya juu naona ndio anamaanisha
  12. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara sio Jambo rahisi, mtaji pekee sio lolote

    Hapo kwenye kibali yaan Entrance nimeelewa sana mtu achague mwenyewe nyeupe au nyeusi...Entrance kibali ni muhimu maagano mafungamano
  13. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

    Hebu toka halmashaurii kwanza
Back
Top Bottom