Recent content by jeremiah nyirenda

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    Wasichana no wavulana wataondoka tubaki wanaume na wanawake
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania tuichukulie vipi kauli ya Uhuru Kenyatta kuhusu free movement of people

    Uhuru Kenyatta naweza nikasema ni mmoja kati ya marais wachache barani Africa wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. 1 kwanza kaangalia kwa ujumla siasa za mataifa yote kwa sasa katika east African 2 akaona kuwa marais wengi wanapigania kujibakisha katika madaraka badala ya kukuza uchumi wa mataifa yao...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuhama kwa waliojivua uanachama CHADEMA na ACT kuna kwenda kuimarisha upinzani waweze kuchua dola 2020

    Uko sawa kabisa kwa asilimia mia ila nakulaumu elimu hii usingeitoa sasa kabisa maana unawapa ufahamu na mbinu za kujipanga 2020 siku nyingine kamanda usiwe unatoa elimu za kuwafungua akili ccm. Sasa wana akili mbili tu kununua viongozi chadema na kutegemea nguvu ya dola basi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Gorofa 1 ya TRA Chato ijengwe kwa bil 1.4 wakati Gorofa 4 UDSM zilijengwa kwa Mil 500?

    Brother mimi nionavyo kwa akili zangu ni kwamba hiyo point 4 ndio pesa halisi iliyojenga huo mjengo ila hiyo billion 1 mmm sijui???????
  5. J

    JamiiForums Tanzania Urusi yadai ina uwezo wa kielectroniki wa "Kujam" manowari za kijeshi za Marekani

    Sasa si wangezuia makombora yaliyopigwa siria na marekani kama wana uwezo huo?
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM na Lipumba, Wananchi na mabadiliko

    Yes its true
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina techno phantom z min bei 380000 tuwasiliane kwa namba hii 0764575353
  8. J

    JamiiForums Tanzania Leo katika Historia: GENOCIDE (mauaji ya halaiki) 09 duniani ambayo hukuwahi kuyasikia

    Kwa kweli hii history mimi pia nimeipenda sana haya ndio mambo ya maana kukumbushana dunia ilivyokuwa na ilikotoka na inakokwenda. Siyo yale ya masupastaa wa bongo hata kama kanunua chupi kariakoo ya bei poa utasikia mtu kaja hapa jukwaani ooho flani Kawa millionaire kanunua chupi UK kwa dollar...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Microsoft wamenitumia barua ya kunionya

    Achana nao hao ni matapeli
  10. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Microsoft wamenitumia barua ya kunionya

    Achana nao hao ni matapeli
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wodi Mpya ya wazazi Muhimbili tayari, Jionee Mwenyewe!

    Tatizo la jamiiforums sasa hivi imekuwa ya kiccm ccm tu watu wakiikosoa serikali na kurusha picha wanazifuta picha halaka sana lakini hili la watu kuhamishwa kwenye office zao na kuwa ward ya wazazi wameachia picha zote bila tatizo kuweni fair acheni watu watoe mawazo yao bwana mnaboa sana kwa hilo
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tabia za kuku

    Kenge ana akili mbovu kabisa yeye matone ya mvua yakianza kumdondokea tu hukimbia haraka na kuingia mtoni sasa sijui huwa anawaza nini
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze toka kwa Ndege Tai

    Thanks kwa mafundisho mazuri
  14. J

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini macho yako hii married couple walipanga kulipua bomu kigaidi

    Ina maana waarabu hawajitoagi mhanga?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ni lini Magufuli ataacha kumsifia Kikwete?

    Atakapokuwa rais ataacha tu
Back
Top Bottom