Msaada: Microsoft wamenitumia barua ya kunionya

Msaada: Microsoft wamenitumia barua ya kunionya

Usisahau kuanza kuwasalimia kwa heshima siku ukiwapigia simu mfn: Thank you ladies and women................
.............................
teh ! teh ! teh ! teh ! teh !
ngoja nicheke kigazetiii
 
Jaribu kwanza kwa kumtafuta Claire Gribbin kwenye Google. Piga simu kwenye ofisi ya Microsoft Nairobi kuulizia. Claire Gribbin wa Microsoft yupo South Africa. Usiingie kichwa kichwa. Inawezekana kuwa ni kweli lakini kwenye ulimwengu wa mtandao wamejificha wahuni wengi sana.
shukrani mkuu mana hata huyo CLAIRE GRIBBIN me hats simjui
dah kumbe yupo south
 
Kama vipi waambie ulishaachaga kutumia windows toka walivyoitupa xp sasa uko na open source software tu.

Nanusa harufu ya kupigwa hela tu hapo, kuwa makini
 
Hao matapeli au majambazi bila shaka wana data ya hela zako, pengine kuna mpango wa kukugida data zako kisha ulie kilio cha mende. Microsoft walio halisi wao kawaida wana internal security amabayo ina render your software inactive na hitoweza kutumia vilivyo hasa ku edit document au spreadsheet. Wewe subiri mpaka usikie wito wa kisheria wakufungulie mashitaka kama wao kweli.

TAHADHARI NA SCAMMERS

Zaidi waambie kama umeshaweka report TCRA na polisi.
Wataingia mitini
shukrani mkuu kwa ufafanuzi murua
 
km nilivyoeleza hapo juu nikama wiki tatu zilizopita walinitumia barua kwa DHL ikitoka katika oficce ya ya kenys kuwa natumia software ambayo siyo genuine na haiko lincesed wakaendelea zaidi na kudai kuwa hadi ifikapo tarehe 15 mwenzi huu nipeleke uthibitisho wa microsofy software zote ninazotuamia ktk oficce yngu kuwa kama zipo genuine(ingawajeea sijui naupeleke wapi huo ythibitisho na ni upi)
barua ni hii
4b0e66dca47f6b3b2a0207c463ca3f5c.jpg

762bb3e2a1ca2d1ad01d1512147e5aff.jpg

65041834baf9776ccd0aa2286c961841.jpg



mimi nikauchuna 7bu sikujua nini wanataka na ni computer ipi hiyo wanaizungumzia 7bu hapa ofisini natumia computer tatu laptop moja na mbiri desktop na mm kn sotware za microsoft natumia oficce 2007 na window 7 tu sasa sijui wanazangumzia software ipi nashindwa kuelewa

sijakaa vizuri kama siku mbiri zilizopita wamenitumia barua nyingune wanataka wakutane na IT team ili wajadili hili swaLa wakati mm sijamwajiri mtu yoyote wa IT
barua ya juzi ambayo no ya piri ni hii
2e63d47df459ff62166aa72ace0481af.jpg


wasiwasi wangu najiuliza
wamejuaje location ya oficce yngu mpk kunitumia barua kwa DHL
wakati katika hizi computer sijaingiza information yangu yoyote kihusu hii kampuni yangu na hata mm mwenyewe

pili ninavyojua km ukitumia software ambayo si genuine watakupa taalifa then itahesabu siku zikipungua ka hujalipia mwisho unashindwa kutumia sasa je mbna sion taarifa yoyote na software zote ziko poa

tatu km ni oficce na window mbna natumia computer hizihizi na ni mwaka na miezi km 10 sijawai pewa taalifa hii

wametoa namba nipige ila sijajua nitajieleza vp nimeleta hapa nipate ushauri kbla sijawapigia
maana isije ikawa mataperi nikaingizwa mjini

Achana nao hao ni matapeli http://
 
Awo DHL uliwaona kabisa wakajitambulisha kwako au ulikuta to iyo barua
 
Jaribu kwanza kwa kumtafuta Claire Gribbin kwenye Google. Piga simu kwenye ofisi ya Microsoft Nairobi kuulizia. Claire Gribbin wa Microsoft yupo South Africa. Usiingie kichwa kichwa. Inawezekana kuwa ni kweli lakini kwenye ulimwengu wa mtandao wamejificha wahuni wengi sana.
wanaweza tu kutumia hilo jina lkn yy asielewe kinachoendelea
 
wewe huwajibiki kwa sheria za Kenya wacha mamlaka za ndani zichukue mkondo kama una kosa
 
Aaaahh ka hvyo mi wangekuwa washa nifunga .. Natumia.. Offices 2015 nili itorrent plus sasa nafukuzia window ten.. Na sija wah sikia wakikemea hata kwa email

Chunga hao wiz tu..
 
Back
Top Bottom