Kuhama kwa waliojivua uanachama CHADEMA na ACT kuna kwenda kuimarisha upinzani waweze kuchua dola 2020

MKONGA

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
667
500
Nianze kwa kuwasilimu nyote wana jukwaa wa JF. Pili niwatakie kila la kheri vijana walio wahi kuonekana kama vile ni mahiri ktk siasa za kuamini mabadiliko zaidi, na kumbe haikuwa vile tulivyo waona na kuwafikiria. Lau Masha, Protus Katambi, David Kafulila, na Wakili Alberto Nsando.

Kwa mtu makini na mchambuzi mwenye kuelewa siasa za Tanzania, pamoja na Afrika kwa ujumla, unaona kabisa kwenda kwao CCM kunaenda kuibomoa.

Sababu za kusema haya, ni kwamba endapo kule wameenda kwa ahadi za vyeo au kwenda kuwania majimbo 2020; kutaenda kuibua migogoro ndani ya chama cha mapinduzi. Kwa maana hiyo wanachama wa chama hicho walio kitetea usiku na mchana bila ya kuchoka, nao watakikimbia kwa hoja ya kwamba hawawezi kuingia chamani na kupata nafasi mapema angali wapo wafia chama walio kihangaikia usiku na mchana. Kwa hoja hiyo itaibua mgogoro wa kisiasa utakao sababisha mpasuko mkubwa na mnyukano ndani ya CCM.

Hapo ndipo yatatokea yaliyo wahi kutokea 2015, na kuona watu walio wahi kushika nyadhifa kubwa kukimbia huko na mwisho wa kuwezesha kupatikana kura nyingi, majimbo mengi, na halmashauri nyingi zaidi toka kuanzishwa kwa upinzani nchini.

Waliokwenda kule wote wamekwenda kwa misukumo yao binafsi, lakini kinacho onenekana hapa ni kwamba yote ni maandalizi ya kugombea kupitia majimbo mbali mbali ifikapo 2020.

Sasa nataka nieleze kwa nn upinzani utakuwa. 1. CCM ilisha poteza imani kwa wananchi

2.kitendo cha hao wote kuwa walisha hama vyama vyao au kufukuzwa zaidi ya mara moja au mbili na kujikuta wanarudi CCM.(kutangatanga bila misimamo thabiti)

3. Hoja nzito watakazo zijenga Ukawa kipindi cha kampeni.

4. CCM watakuwa walisha zoeleka, kwa kuwa kila siku wapo kwenye majukwaa.

Namalizia kwa kusema, 2020, UKAWA itapokea wengi zaidi na wenye nguvu ya ushawishi zaidi na hao wataipaisha mara elfu zaidi ya sasa.

Kwa anayeamini na amini, na kwa wasio amini halazimishwi. TUKUTANE 2020.
 
Jun 1, 2013
81
125
Uko sawa kabisa kwa asilimia mia ila nakulaumu elimu hii usingeitoa sasa kabisa maana unawapa ufahamu na mbinu za kujipanga 2020 siku nyingine kamanda usiwe unatoa elimu za kuwafungua akili ccm. Sasa wana akili mbili tu kununua viongozi chadema na kutegemea nguvu ya dola basi
 
Sorry mkuu kwa kuwapa maoni haya mapema; ila nayo nimeona kama vile ndiyo muda muafaka wa kuanika haya ili wale walio na wasiwasi wa kukatwa kura za maoni waanze kujiandaa. Wengi watatoswa kwa kisingizio ni masalia ya Mh Lowassa. Na wasaliti.
 
WAZIWAZI

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
1,750
2,000
Nianze kwa kuwasilimu nyote wana jukwaa wa JF. Pili niwatakie kila la kheri vijana walio wahi kuonekana kama vile ni mahiri ktk siasa za kuamini mabadiliko zaidi, na kumbe haikuwa vile tulivyo waona na kuwafikiria. Lau Masha, Protus Katambi, David Kafulila, na Wakili Alberto Nsando.

Kwa mtu makini na mchambuzi mwenye kuelewa siasa za Tanzania, pamoja na Afrika kwa ujumla, unaona kabisa kwenda kwao CCM kunaenda kuibomoa.

Sababu za kusema haya, ni kwamba endapo kule wameenda kwa ahadi za vyeo au kwenda kuwania majimbo 2020; kutaenda kuibua migogoro ndani ya chama cha mapinduzi. Kwa maana hiyo wanachama wa chama hicho walio kitetea usiku na mchana bila ya kuchoka, nao watakikimbia kwa hoja ya kwamba hawawezi kuingia chamani na kupata nafasi mapema angali wapo wafia chama walio kihangaikia usiku na mchana. Kwa hoja hiyo itaibua mgogoro wa kisiasa utakao sababisha mpasuko mkubwa na mnyukano ndani ya CCM.

Hapo ndipo yatatokea yaliyo wahi kutokea 2015, na kuona watu walio wahi kushika nyadhifa kubwa kukimbia huko na mwisho wa kuwezesha kupatikana kura nyingi, majimbo mengi, na halmashauri nyingi zaidi toka kuanzishwa kwa upinzani nchini.

Waliokwenda kule wote wamekwenda kwa misukumo yao binafsi, lakini kinacho onenekana hapa ni kwamba yote ni maandalizi ya kugombea kupitia majimbo mbali mbali ifikapo 2020.

Sasa nataka nieleze kwa nn upinzani utakuwa. 1. CCM ilisha poteza imani kwa wananchi

2.kitendo cha hao wote kuwa walisha hama vyama vyao au kufukuzwa zaidi ya mara moja au mbili na kujikuta wanarudi CCM.(kutangatanga bila misimamo thabiti)

3. Hoja nzito watakazo zijenga Ukawa kipindi cha kampeni.

4. CCM watakuwa walisha zoeleka, kwa kuwa kila siku wapo kwenye majukwaa.

Namalizia kwa kusema, 2020, UKAWA itapokea wengi zaidi na wenye nguvu ya ushawishi zaidi na hao wataipaisha mara elfu zaidi ya sasa.

Kwa anayeamini na amini, na kwa wasio amini halazimishwi. TUKUTANE 2020.
labda unamanisha dola USD za akina chenge ili wawe wagombea wao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom