Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 57,739
- 92,164
Je uko tayari kwa mafanikio? Je unataka kuishi kwa raha? na kuwa mtafutaji mzuri? Hebu jifunze jambo toka kwa Tai.
Tai hukadiriwa kuweza kuishi hadi miaka 70, achilia mbali ajali, magonjwa na mengine ya namna hio ambayo huweza kukatiza umri wake. Anapofikisha umri wa miaka 40, makucha yake ambayo huyatumia katika kuwinda na kukamata chakula huwa yanakua yameshachoka, mdomo wake nao huwa butu na uliojikunja sana Manyoya yake hujikusanya kifuani na hivyo kumfanya ashindwe kuishi kwa raha na kukosa chakula.
Katika hali kama hii, TAI huwa na option mbili tu, aendelee kuilea hali hii na kusubiri kifo au akubali maumivu ya mabadiliko ili aishi tena miaka mingine 30.
Ili aishi miaka hio 30 inabidi aende juu kabisa kwenye miamba na kuanza kuupigapiga kwa nguvu mdomo wake kwenye miamba ili kuondoa ule uliozeeka na kujikunja na baada ya hapo husubiri mdomo mpya ukue tena, kisha akishapata mdomo mpya huutumia kung'oa makucha yake yaliyozeeka na kusubiri kucha mpya na kali ziote tena na hapo humalizia process hi ya mabadiliko kwa kutoa manyoya mazee yanayomzuia kuruka kisha husubiri yaote mapya. Hapo sasa TAI mpya huwa mzima, safi kabisa na mwenye nguvu mpya ya kuishi miaka mingine 30.
Moral
The choice is yours. Wekeend njema
Mpwao Elli wa JF

- Kila jambo linaanza na wazo kisha likifuatiwa na Decision to Dare
- Mabadiliko ni mchakato, sio kitu cha ghafla
- Mabadiliko yenye kuleta mafanikio yana maumivu yake (changamoto)
- Kubali kuyasahau na kuyafuta yaliyopita uangalie mbele
- Usibebe mwilini na akili mwako vitu au watu wanakuzuia mafaniko yako, TAI aliondoa manyoya, pengine wewe leo hii manyoya yako no marafiki wabaya, kampani mbaya, hatred, inferiority na mengine.
- Commitment; kila jambo linahitaji kujitoa kwa hali ya juu sana
- Risk; mabadiliko mazuri huendana na ku-take risk
- Confidence: Jiamini kuwa unaweza, naam unaweza kweli
The choice is yours. Wekeend njema
Mpwao Elli wa JF
Last edited: