Recent content by Jephta2003

  1. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na Jamaa wa TANESCO nani yupo sahihi?

    Kama yuko karibu na Transforma vifaa vyote vinaweza fanya kazi vizuri kwa single phase
  2. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Ukifungua mwenyewe hizo seal utazokata utapata wapi ukitaka kufunga
  3. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Hela tu
  4. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Kitu cha kwanza anachofanya Msambaa baada ya kupata kazi ni kumroga bosi

    MwanaFA sio Msambaa ni Mbondei
  5. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania makonda ndie rais ajae.....

    Kwani Makonda ni mRC?
  6. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anawaza kuvunja ndoa, lakini nyumba yake alijenga kwenye kiwanja cha wakwe, afanye nini?

    Nyumba si watakaa watoto wake?,wasiwasi wa nini sasa?,au sio damu yake hao watoto
  7. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Wafanyausafi wawili wa treni ya SGR wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za wizi wa simu

    Hiyo Samsung AO7 ina thamani ya sh 450,000?
  8. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

    Boda boda unatoboa,kuna jirani yangu ni bodaboda kajenga kajumba ka vyumba viwili,hivyo ni zaidi ya kula kama alivyosema muanzisha uzi
  9. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

    Sasa hujafanya sex mwaka na hamu ulikua unapata ili upate nini haswa?
  10. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Tafuta fundi Mwanza wanabei poa sana,gharama ya wewe kumleta tu kuondoka anajigharamia mwenye,kwa nyumba kama hiyo kwa fundi wa Mwanza ni sh 500,000 tu,mtafute huyu anaitwa Kwilasa no 0753581808,mwakbie no nimepewa na jamaa wako wa Luguruni Kibamba
  11. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Bud light ni tamu sana aise nimechelewa sana kujua hili.

    Hii ni bia au soda?
  12. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kulipia Netflix out of curiosity

    Na kwa tv kwa single user bei ni hiyo hiyo au hii ni kwa simu tu
  13. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Kwanini mume wa Dkt. Tulia (Dkt. James Andilile) alitumbuliwa, ikiwa mafuta yanapanda bei namna hii?

    Yule wa Tulia alipandisha sh 1,000/ nzima,huyu wa sasa kapandisha sh 200 mpaka 300 huoni tofauti hapo
  14. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

    Yanafanana sana na mafuta ya taa,tumia kuyapikia yatafaa
Back
Top Bottom