Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Biashara ambazo huwezi toboa kamwe!

Safari ya mafanikio ni mjumuiko wa mambo madogo madogo mengi sana. Mtu anaweza kuanzia kwenye chips akajiongeza na kukuza biashara yake ikakua. Cha muhimu ni nidhamu kwa kile kidogo unachopata. Tatizo mtu akianza kuuza chips labda za 30k kwa siku ataoa, atataka kununua plot na kuanza ujenzi. Mwishowe anaanguka au kuwa mtumwa wa milele wa hizo chips.
Umemaliza kila kitu
 
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Vipi kuhusu Saloon yenye Masaji ambapo wateja wakienda wanapata huduma mbili kunyolewa na ngono
 
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Kutoboa ni malengo ya mtu. It will take time ila hizo biashara zote nimeiona watu wengi wamefanikiwa mpaka kukimbilia kwenye level za shs billionaires.
 
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery

Hizi ni miongoni mwa biashara ambazo kutoboa labda utoboe pua!
Boda boda unatoboa,kuna jirani yangu ni bodaboda kajenga kajumba ka vyumba viwili,hivyo ni zaidi ya kula kama alivyosema muanzisha uzi
 
Back
Top Bottom