Recent content by Jayfour

  1. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza bei mpya ya unga Dar

    Hii haina tofauti na lile tamko la serikali kuhusu bei ya sukari ambalo lilipuuzwa na wafanyabiashara...wananchi wameendelea kuumia hadi sasa.
  2. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Recover your deleted photos and data

    Vipi kama niliformat mara moja?
  3. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Wizi waibuka Bandari Dar- Magari yachomolewa vifaa

    Tanzania kila mtu mwizi, na hasa baada ya kukata tamaa ya maisha yasiyokuwa na matumaini.
  4. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    The Big Mayai - Dar to Dom
  5. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Ni makosa kuandika ''TUNAUZA MKAA''

    Wala usichanganyikiwe na haya maneno mawili ambayo ni tofauti. Mkaa = (charcoal) aina ya nishati inayotokana na miti au mimea uliyoungua nusu kwa kukoseshwa oxygen ya kutosha. Makaa = (coal) ni aina ya nishati inayotokana na miamba ya mawe. Mkaa -> unakata miti Makaa ->unachimba ardhini...
  6. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Kuchakachua Vodafone K3565-Z modem

    Soma thread moja kwenye jukwaa hili hili, chini kidogo ya thread yako utaona thread nyingine "Msaada, modem ya vodafone ZTE" fuatilia maelekezo na bila shaka utafanikiwa. Hata mimi nilikuwa na shida sawa na yako.
  7. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Msaada, modem ya vodafone ZTE

    Asante, mimi nimefanikiwa.
  8. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Mukama, Lowassa wamchefua JK

    Kwa vile ni siasa ya ndani ya ccm, wasiogope kusema kwa ufasaha: "ccm uchwara!", "ccm ovyo ovyo!"
  9. Jayfour

    JamiiForums Tanzania John Magufuli, kutaka kuwe na Wizara ya Miundombinu ni matumizi mabaya ya rasimali fedha

    Hii ni sawa na kusema ule mpango wa kujenga barabara za juu kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi na kupunguza foleni ambao ulitakiwa uanze kufanya kazi mwanzoni mwa mwaka 2012 umefeli!! Ikiwa kila kitu mnashindwa, kuna sababu gani ya kubaki huko madarakani na kuendelea kula kodi zetu kupita...
  10. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Tumekwisha

    Marekani inajulikana kwa tabia yake ya kupenda rasilimali za wenzake...anapokuja kuja sana kwetu bila sababu ya msingi, sisi Watanzania ni wajibu wetu kuwa na mashaka naye kwenye mali zetu. Ni kama rafiki yako/mfanyakazi mwezio anayejulikana sana kwa kupenda kutembea na wake za watu mara...
  11. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya asali, tango na limao

    Tango na asali hata mimi nimewahi kusikia...
  12. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Kihoja: bibi mchawi akamatwa machame(mfumoni)

    Huyo bibi asiuawe, kwani tuna muhitaji sana aje kwenye jukwaa letu la Sayansi na Teknolojia..tuna maswali mengi ya msingi ya kumuuliza ili tuweze kushirikiana nae katika kuboresha teknolojia ya usafiri huo wa anga. Hii itaisaidia Serikali yetu ambayo haina uwezo wa kununua ndege mpya, pia...
  13. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Msaada ku unrocky moderm ya tigo

    Anamaanisha "unlock modem"
  14. Jayfour

    JamiiForums Tanzania CCM Kubadili Jina ili Kupata Mvuto.

    wamesababisha hata marefa kuichukia timu ya Yanga msimu huu.
  15. Jayfour

    JamiiForums Tanzania Modem yangu ya tccl hataki ku-connect

    ni TTCL na si tccl. Ni typing error. Asante.
Back
Top Bottom