Wakijiita hivyo mimi nitaanza kupinga na kwenda mahakamani, maana wapo watu wanaoitwa hivyo lakini sio wana CCM.....!Jaman jaman,kweli ccm wamepoteza kabisa, kujivua gamba hakijawatosha!ushauri wangu kwa kuwasaidia ccm wajiite NYERERE PARTY itawasaidia kuwakamata akina fulan japokuwa wamepungua cku hizi,yaani wale wanaosema Njomba,Mkapa kapata Unyerere.
...Tena na watu wao wale wale.....sijui watamdanganya nani?Hahahahaa, tatizo si jina bali tabia!
Habari za ndani za na za kiintelijensia nilizozipata zinasema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinampango wa kubadili jina hilo, ili kukiletea mvuto wake wa asili kwa wananchi.
Habari hizo zinazidi kudai kuwa, mchakato utawakilishwa katika siku ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru, na mipango ya kutoa mapendekezo ya jina mbadala litakalotumiwa utaanza rasmi ili ikiwezekana litumike katika uchaguzi ujao.
Hali hiyo inatokana na CCM kupoteza umaarufu hivyo kutishia uwezekano wa kupotea katika ulimwengu wa kisiasa ifikapo mwaka 2025.
Hivi sasa CCM inadai kutumia nguvu na rasilimali nyingi katikai kuuza sera zake kwa wananchi, kitu ambacho ni tofauti na chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
wamesababisha hata marefa kuichukia timu ya Yanga msimu huu.mmmmh,vpi kuhusu rangi nayo wabadili?,maana siku hzi nguo zenye rangi ya njano na kijani hazinunuliki kabisa hata kama si ya magamba!.
Habari za ndani za na za kiintelijensia nilizozipata zinasema, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinampango wa kubadili jina hilo, ili kukiletea mvuto wake wa asili kwa wananchi.
Habari hizo zinazidi kudai kuwa, mchakato utawakilishwa katika siku ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru, na mipango ya kutoa mapendekezo ya jina mbadala litakalotumiwa utaanza rasmi ili ikiwezekana litumike katika uchaguzi ujao.
Hali hiyo inatokana na CCM kupoteza umaarufu hivyo kutishia uwezekano wa kupotea katika ulimwengu wa kisiasa ifikapo mwaka 2025.
Hivi sasa CCM inadai kutumia nguvu na rasilimali nyingi katikai kuuza sera zake kwa wananchi, kitu ambacho ni tofauti na chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
Hahahahaa, tatizo si jina bali tabia!