Duuh,jamani duniani kuna mambo,maana aliyeniambia kuwa ukichanganya hivyo vi2 vi2 inakuwa sumu,kwa kweli alisema kwa comfidence ya ajabu na msisitizo sana hata nikaogopa sana,anyway i'll try to mix an see
Labda kwa kuwa unatumia chaini na majini,wanasema ukichanganya moja kwa moja,inaleta reaction ambayo inavuruga na kukata kata utumbo na kusababisha kifo cha ghafla
Wewe nani kakufundisha kuwa asali na ndimu kuwa ni sumu?mimi nikiumwa na Mafua huku niliko natumia limao pamoja na asali na maji ya uvuguvgu mbona sijakufa? kama kitu haujuwi bora uulize sio kusikia tu usizushe maneno tu kama hujuwi uliza.
Jamani wenzangu nina jambo mlikuwa mnajua kama mdalasini, asali na tango ni dawa ya kumpa mtu nguvu kwenye mechi? kama ulikuwa hujui ndio ufahamu eti..
Kuna dada mmoja alikuwa analalamika mpenzi wake nguvu kitandani hana, anasema jamaa akishatoa moja tu basi nguvu zote zinaisha jamaa hawezi hata kurudia ya pili, na hapo mwanamke wake huyo anakuwa hajatosheka lakini jamaa hajiwezi kabisa..
Sasa huyu dada akawa anaomba ushauri kwa watu wazima akiwaeleza swala lake na mumewe watu wengi wakawa wanamshauri mengi tu pamoja na ya kwamba mumewe anywe maji ya mchele yale ya kwanza, sijui mwengine akamwambia anywe maji ya madafu kwa wingi na wengine wakimwambia aende kutafuta dawa za miti shamba...
Akafika kwa bibi mmoja wa zamani (umri umeenda) yule bibi akamwambia yule dada ampe mumewe mdalasini pamoja na asali achanganye kwa pamoja atie na maji ama aiweke kwenye chai, halafu kila chakula cha yule baba kisikose kipande cha tango..
Yule dada akafanya kama alivyoambiwa na yule bibi, sasa hivi dada anafuraha mambo si shwari, kwahiyo huu ni ushauri tu ya kwamba ukiona mwezio nguvu hana akienda moja anahema kama kasukuma trekta, mwanaume anahema kama presha imeshuka (hehehe) basi sio vibaya ukijaribu hayo..
lakini naomba niseme sio tu kwasababu huyu dada yeye mpenzi wake alipata nafuu ndio kila mtu itakuwa hivyo wengine vyao vya kurithi utalisha hivyo vitu milele jamaa hata kubadilika asibadilike...
Chanzo: MWANAMKE NA NYUMBA: MDALASINI, TANGO NA ASALI....
Kakwambia nani wewe kuwa Asali na ndimu ni sumu mimi mbona huku natumia kila siku asubuhi kwa ajili ya ugonjwa wa mafua?je unao ushahidi kuwa asali na ndimu ni sumu ? tupe ushahidi wako?
Hata mimi nimweahai kusikia tango, asali na ndimu ukivichanganya pamoja ni sumu inayoua mara moja labda tupanye majaribio kwa kumnywesha paka au panya.
Thanks,walioniambia walizungumzia hasa hilo suala la reaction,na wakasema kuwa hiyo reaction inavuruga na kukatakata utumbo na kusababisha sudden death!
Na Mimi huwa napiga asali ndimu na maji ya Uvuguvugu kila siku asubuhi kwa jaili ya kinga ya Mafua huku nilipo ninafikiri na mimi nimesha kufa Lakini sijijuwi ?????? Mkuu waambie hao waache imani Potofu hiyo.
Madai haya huenda niya kwel hvy 2fanye tafit kuptia wanyam. Ila mchanganyo huu unapotumika external n dawa ya ngozi yenye mafuta na chunus, kwan lmao huondo na kupunguza mafuta na kupunguza bacteria kwenye ngozi, huku asali ikiondoa madoa ya makov madogo ya upele au chunus na kulainisha ngozi kwa aina yake, pia hukinga ngoz kwa % kadha kutokana na mionzi ya jua. Utumiaji ni mara moja au 2 kwa cku, jion / asubuhi.
naomba msaada Great thinkers,je ni kweli kuwa ukichanganya asali na ndimu/limao inakuwa sumu kwa binadamu?je kuna ukweli wowote wa kisayansi(chemistry)?
hebu nikajaribu ntarudi na majibu baada ya 24hrs make naona kila mmoja anaogopa! Mkiona sionekani tena ujue nimerest tayari! Hebu nifanye kuanzia asubuhi hii
Jaribio langu la kwanza kabisa la kikemia ilikua kuchanganya magadi na ndimu. Likitoka povu nikaambiwa eti huko tumboni itareact hivyo hivyo. Sio kweli nadhani manake hizo acid za tumboni ni zaidi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.