Lakini na sisi tuna matatizo,
Tumshutumu rais kwa yale yanayostahili na sio majungu tu.Kufanyia Party,unyago, harusi hata kitchen party ikulu kuna ubaya gani? huyu ni mwanae na hapo ndio baba yake anapoishi kwa sasa?? nyie hamjawahi kufanya Party kwa wazazi wenu, iwe birthday au hata harusi...