Kama hiyo ndio mishahara yao KWELI ni midogo sana. Hebu jaribu kuulizia mishahara ya wafuatao uone ninalojaribu kulieleza hapa;
1. Gavana wa BOT,CAG
2. Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO,
3. Maafisa Watendaji Wakuu wa DAWASA, DAWASCO, EWURA, REA, SUMATRA, TCRA
4.Mkurugenzi wa TIC, PSRC
5. Uje pia kwenye Taasisi na asasi binafsi kama PSPF, LHRC, CTI uone watendaji wake wakuu wanalipwaje.
MkamaP,
Mhadhiri Msaidizi sijui analipwa kiasi gani..ila atakuwa na Masters tayari..basi ni kati kati ya laki 7 hadi 1m! Kuna mtu aliniambia Full Prof. sasa analipwa kama 2.5m..3.0 m gross au zaidi bila marupurupu!
WanaJF mlioko Vyuo vya serikali..hebu mtuhabairishe!
Nashukur kwa dokezo lako,namimi naomba nitie msisitizo ktk maelezo yako kwa wana jf walio vyuo vya serikali tunaomba ufafanunuzi wenu.
Ili tuweke mambo sawa tu assume huyo mhadhiri msaidizi ana masters na hii iwe reference point.
...Pole Fidel. Wagosi wa kaya waliimba "bora nchi iuzwe tugawane kila mtu achukue chake" serikali ya CCM ni mabedui kabisa. Shule za sekondari hazina umeme watoto wanasomea mishumaa mpaka wanalipuka wao wanaongezeana mishahara.. Sijui watanzania tutaamka lini??Inauma sana mwalimu wa sec. mwenye Diploma anakula take home 170,000/= kwa mwezi hapo ana mke na watoto na ndugu wanamtegemea.
...Pole Fidel. Wagosi wa kaya waliimba "bora nchi iuzwe tugawane kila mtu achukue chake" serikali ya CCM ni mabedui kabisa. Shule za sekondari hazina umeme watoto wanasomea mishumaa mpaka wanalipuka wao wanaongezeana mishahara.. Sijui watanzania tutaamka lini??