Kikwete unatia aibu sasa

Lakini na sisi tuna matatizo,
Tumshutumu rais kwa yale yanayostahili na sio majungu tu.Kufanyia Party,unyago, harusi hata kitchen party ikulu kuna ubaya gani? huyu ni mwanae na hapo ndio baba yake anapoishi kwa sasa?? nyie hamjawahi kufanya Party kwa wazazi wenu, iwe birthday au hata harusi??
Let us discuss serious issues, these are so minors in a credible forum like this.
 
Lakini wadau pale IKULU si ndio kwao Riz ONE?? so kama wewe una spce nyumbani kwako na una kasherehe ka ubarikio si utakfanyia hapo tu kuepuka gharama za Ukumbi na Mapambo??? Hakajakosea JK wa watu jamani, pale ndo HOME na pameshapambwa na Kuna Space. More to come.....soon akitaka kutahiri wajukuu zake kadi zenye nembo ya IKULU kama kawa "KARIBU KUHUDHURIA SHEREHE YA KUMTAHIRI MJUKUU WA RAIS"
MAHALI: IKULU
TIME:...........................................
Nembo safi kbs ya State House itakua inang'aa juu ya Kadi

Ukifikiria sana waweza kuhama URAIA....Bado anakuja na next five YEARS....TUTASHAA
 
Anayetia aibu ni wale wanaomkubali kikwete na CCM yake.Yeye ndivyo alivyo na kamwe hawezi badilka,hivyo yeye yuko sawa bali watz wanaomundekeza licha ya ukuda wake ndiyo wa kulaimiwa.Keep it jk.
 
Kumbe ndo mana siku ile ya kuapishwa Jaji Mkuu alikuwa akimtizama Ridhiwan kwa Jicho la kujua kama kutakua na shuhuli yeyote ya Kumpongeza!!!. Ni vyema mleta mada hii ukatuletea nakala ya hiyo kadi ya mwaliko hapa.
 
Hakuna aibu yeyote. Kila mzazi hufuraha mafanikio ya mtoto wake. Baba yangu alinifanyia sherehe nilipograduate na kualika ndugu na marafiki wa familia. Makazi ya Kikwete ni Ikulu ambako yeye na familia yake kwa kipindi cha miaka mitano ndio kwao! Ya Ben yaache.
 
Tusimlaumu sana Kikwete wakati mwingine makosa kama haya hufanyw na walio chini yake bila ya matakwa yake au kwa kushauriwa vibaya tu. Washauri wake waangalie vizuri pia na yeye aangalie vizuri ushauri anaopewa
 
Lakini wadau pale IKULU si ndio kwao Riz ONE?? so kama wewe una spce nyumbani kwako na una kasherehe ka ubarikio si utakfanyia hapo tu kuepuka gharama za Ukumbi na Mapambo??? Hakajakosea JK wa watu jamani, pale ndo HOME na pameshapambwa na Kuna Space. More to come.....soon akitaka kutahiri wajukuu zake kadi zenye nembo ya IKULU kama kawa "KARIBU KUHUDHURIA SHEREHE YA KUMTAHIRI MJUKUU WA RAIS"
MAHALI: IKULU
TIME:...........................................
Nembo safi kbs ya State House itakua inang'aa juu ya Kadi

Ukifikiria sana waweza kuhama URAIA....Bado anakuja na next five YEARS....TUTASHAA

Mimi nadhani kosa ni kama nembo ya ikulu au ya state ilitumika kwenye mialiko. otherwise alifanya family party na pale ndiyo nyumani kwake, japo na ofisi iko hapo hapo.
Ndiyo maana wakenya wametofautisha kati ya ofisini kwa raisi na ikulu-nyumbani anakoishi.
 
NIMEONA HABARI YA MTOTO KWA RAIS KIKWETE KUPATA UWAKILI KISHA RAIS AKAFANYA SHEREHE YA KIFAMILIA IKULU TENA AKITUMIA NEMBO YA TAIFA/SERIKALI/STATE KWENYE KADI YA MWALIKOAMBAYO INAMAKOSA YA KITOTO NA KISHENZI.

MFANO SEHEMU YA RSVP IMEANDIKA " Jibu kwa Vazi Rasmi". ikarudiwa tena " jibu kwa mpambe wa rais'.

JAMANI WHERE ARE WE GOING WITH THIS MAN? MJUKUU WAKO ANATOKA ARUBAINI!! SHEREHE IKULU, MTOTO WAKO ANAPATA UWAKILI SHEREHE IKULU, VIKAO VYA CCM , IKULU. MTOT WAKO ANAOA, SHEREHE IKULU!!!!!! CLINTON ANAKUJA- IKULU.

THIS NOW STINKS! MPAKA ANAFIKIA KWENDA KWENYE SEND OFF PARTY!!!!!!! THAT IS BELOW THE BELT KWA KWELI. HUWEZI KUTOFAUTISHA MAMBO BINAFSI NA SHUGHULI ZA KISERIKALI?

MBONA MWENZIE BEN MTOTO WAKE ALIOA NA WALA HATUKUSIKIA KUFANYIKA SHEREHE IKULU???? INAMAAANA WENZIE HAWAKUA NA WATOTO AU WAJUKUU?????

MHESHIMIWA ACHANA NA MAMBO TRIVIAL, YOU ARE MORE THAN THAT MZEE. I AM ASHAMED. UNATUMIA NEMBO ZA SERIKALI KWENYE SHEREHE ZA FAMILIA YAKO!!! IS THAT A PUBLIC CONCERN KWAMBA MWANAO KAPATA UWAKILI??? KWA HIYI MALI ZA SERIKALI ZITUMIKE MPAKA KWENYE MAMBO YA KICHOVU HIVI JAMANI.

HAKYA NANI...

Mkuu wakati ninasoma post yako nilikuwa nakuelewa una maana gani ila nilipofika hapo kwenye bold ndiyo nikafunguka macho kuwa "All are the same" na huyo uliyemtaja. Mkapa yeye hakutumia IKULU kwa sherehe bali alitumia kuingiza pesa kwa kufanyia biashara. nafikiri la sherehe ni dogo sana maana tunaweza sema ni sababu za usalama wa rais. Ila la bishara si dhani kama lina husiana na usalama wa rais. Hayo mengine yote ya nembo n.k ni mambo madogo tu.
 
Kwani hizo kadi zenye nembo (kama kweli zilikuwepo) zilichapishwa na JK mwenyewe au nimakosa ya agent/designer kuweka madoido? TZ kuna sheria yoyote inayozuia kuweka nembo ya taifa kwenye kadi?
 
ndo mitanznia tukome kuchagua rais mkwere..hata vi cheni party vya watoto wake ataruhusu viduku vipigwe ikulu..huyo ndo JK chaguo la mungu.......
 
Kwani hizo kadi zenye nembo (kama kweli zilikuwepo) zilichapishwa na JK mwenyewe au nimakosa ya agent/designer kuweka madoido? TZ kuna sheria yoyote inayozuia kuweka nembo ya taifa kwenye kadi?

we unaongea ninin?yaani designer anatoa wapi logo ya serikali?plus contact mpambe wa rais in case hutohudhuria???
 
kwa hiyo unataka kusema JK ndiye liyetoa Logo kwa huyo designer? Logo mbona hata kwenye internet ipo...sidhani kama kweli JK ndiye aliyependekeza hiyo design.
 
Hata mbesiii ni ikulu kwani kuna kwere gani kasumbua mtu? Angefanya obama huko marekani mngechekelea!! Mtanzania akishakuwa na njaa bwana mh! Atatukana mpaka bibiye
 
Back
Top Bottom