Recent content by janejean

  1. J

    JamiiForums Tanzania kilio cha wakulima wa korosho nchini Tanzania.

    Baada ya kuweka utaratibu wa stakabadhi gharani kwa lengo la kuboresha hali za wakulima hao. Msimu huu umekuwa tofauti sababu hadi kesho wamekaa na stakabadhi zao na hela hawajapata wakati korosho walishakabidhi tangu mwaka uliop wanashindwa hata kupeleka watoto shuleni. Sasa kweli kilimo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Sioi batili - Wajumbe UVCCM Arusha

    kweli ubunge ni deal. Huyo mtoto wa sumari anatafuta nini tena huko? Badala ya kulia kifo cha baba yake. Au na yeye ndio vile.........?
  3. J

    JamiiForums Tanzania M-Pesa, Tigopesa n.k. ni utapeli mwingine?

    ndio mambo yenyewe. wizi mtupu!!!!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Two boyfriend wish one girlfriend happy birthday on live show (Radio)

    ukiona hizo njemba zote mbili zimetuma msg ina maana wanampenda. sasa utajisikiaje kama unayempenda ana mwengine?
  5. J

    JamiiForums Tanzania CV ya Mheshimiwa Waziri wa Afya anayesubiri kujiuzuru hivi karibuni

    ndio Tanzania hiyo mkuu!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    wangapi watakuwa wameshaanza kujenga?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    hi! guys.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    kuna mrembo anaishi kwenye nyumba ya kupanga lakini analo gari la kutembelea. Tatizo hilo gari aliwezi kufika nyumbani coz mwenye nyumba hakuwa na ndoto za gari, kwa hiyo akuandaa miundombinu yakuwezesha gari kufika.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    ndio haswaaaa!!!!! mkuu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya, You just Made My Day

    uko juu, kipanya!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mtihani kidato cha pili warudishwa

    kama awatabadilisha mawazo yao tena. nawachukia!!!!!!!!!!!
  12. J

    JamiiForums Tanzania DIAMOND awaomba radhi WATANZANIA

    Bangi mbaya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa makampuni yasiyorejesha pesa za EPA hadharani

    ccm wana roho mbaya! hawana ata chembe ya huruma kwa wenye nchi yao.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama

    Ukweli ndio huo mkuu!
Back
Top Bottom