Two boyfriend wish one girlfriend happy birthday on live show (Radio)

AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,033
Wakuu habari za masiku, Juzi nilipokuwa nasinzia sinzia , hafla nikasikia njemba 2 zikimtumia email Dj wa show kwenye station ya radio kumuomba ampigie g/f kum-wish happy birthday. Kumbe na mwengine pia akawaametuma email kwa dj na kumuomba the same request kwa same woman sikilizeni hapo
 
Attachments

  • YFM LAST NIGHT.mp3
    7.4 MB · Views: 403
Loh jamaa kaharibu birthday ya binti moja kwa moja, binti kabaki anahangaika tu - surprise birthday present! Sijui kama hatakula kipigo hasa kwa yule jamaa wa pili alikuwa anasikika kama amechukia kweli.

Binti anajitetea eti 'my mother is listening to this' lakini mtangazaji anamwambia 'I dont give a damn - you should not be dating two guys at the same time'.

Halafu kabinti kenyewe kana miaka 21 tu si ndiyo maambukizi yenyewe hayo. Tena kule kule southern africa kutokana na hilo jina (Ndombi - siyo spelling yake sahihi)
 
kule kwetu south africa " ndombi" maana yake ni - do-. kwa hiyo huyo binti amepewa jina zuri sana kwani linaonekana maana yake kwenye hiyo tukio
 
ndio mapenzi ya dot.com generation hayo,mnaweza kupangwa hata kumi; afterall hakuna shombo wala nini, kila mtu anajisevia kwa wakati wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom