Recent content by Jaguar

  1. Jaguar

    Mahakama yataifisha mali za mtoto wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu

    The same kwa Kagame anayemuandaa mwanae Ian kagame
  2. Jaguar

    Mahakama yataifisha mali za mtoto wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu

    Ndo maana hapo UG museveni anapambana kwa kila namna mwanae Muhoozi aje kuwa successor wake!
  3. Jaguar

    Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    🎵🎵🎵 I'd be a genius if I didn't think with my pe..s!
  4. Jaguar

    Nissan Dualis vs Nissan Qashqai

    Ninavyojua mimi,hizi ni gari ya aina moja,hakuna tofauti yoyote,ila ngoja waje wajuzi wa mambo!
  5. Jaguar

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We are beating them like a drum 🥁
  6. Jaguar

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kweli mkuu,hata mimi nilikuwa nimehisi vibaya!
  7. Jaguar

    Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

    Aisee,mimi huwa siweki fwedha mbele,huwa siingii kwa gear kubwa mwanzoni..namuingia mwanamke kutokana na jinsi alivyo..hata kama mtu wa dini nitaanza naye kidini dini hivyo hivyo.Ila siku akijichanganya kunitunuku,mimi ni kama Comodo dragon,nikikung'ata hata mara moja,bhaas tena,ndo ushakuwa...
  8. Jaguar

    Nikifukuzia mwanamke wiki mbili tu akagoma nampotezea

    Mama zetu walikuwa wanazungusha miaka mitano lakini pia hawakuwa wanamtunuku mwwingine,walikuwa wanajitunza..sasa nyinyi leo
  9. Jaguar

    Nikifukuzia mwanamke wiki mbili tu akagoma nampotezea

    Wiki mbili? Hapana..ni siku moja na ya pili ya bonus!
  10. Jaguar

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Huyu jamaa..he is so industrious,nina admire sana work rate na passion yake!
  11. Jaguar

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    My favourite baller,Federico Valverde,lazima afanye mambo leo!
  12. Jaguar

    Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Kumbe mimi niko safi,ratio ya mimi mija ye 3 na kuendelea!!
  13. Jaguar

    FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

    Mlijipima nao friendly match,unayakumbuka matokeo?
  14. Jaguar

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hello Mbwa jike!
  15. Jaguar

    Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

    Mkuu,hapa utashambuliwa sana,imani ya mtu katika dini fulani inaathiri sehemu ile ya ubongo inayoathiriwa na uraibu wa madawa ya kulevya..so una mlima wa kupanda ili watu wakuelewe. Mimi nilishangaa sana kuja kusikia kwamba Italy ni nchi ya tatu kwa low rates za ufungaji ndoa.Waliotuletea haya...
Back
Top Bottom