Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,753
- 6,488
Vinicius sijui alikuwa anataka kufanya nini., yeye jana golikipa akataka kumpiga chenga.,
Kijana ameachia mkwaju hata golikipa mwenyewe hakuuona., Kijana anakuja vizur sana.My favourite baller,Federico Valverde,lazima afanye mambo leo!
Huyu jamaa..he is so industrious,nina admire sana work rate na passion yake!Kijana ameachia mkwaju hata golikipa mwenyewe hakuuona., Kijana anakuja vizur sana.
Kesho tutakosa huduma ya Modrić, Benzema, Valverde na Ceballos.,