Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,727
- 6,421
HT: Elche 0-1 Real Madrid
Perezi anataka kupeleka offerDogo amepagawa, ana ugomvi na Neymar, bahati mbaya akajikuta kwenye team ya neymar wapo wengi zaidi na wenye nguvu haswa Messi, Sergio Ramos aliyekuwa anamtegemea amkingie kifua na yeye amekuwa mpole., so hana sauti dressing room, na mbaya zaidi maofisa wa club na wenyewe wapo kimya, so anaona kama hatendewi haki.
Suala la kuja Los Blancos ninaona kama Perez hana time nae, ila acha tuone itakavyokuwa huko mbeleni.
Vijana wanaupiga mwingi sana saivi nafurahishwa na madrid wanavyocheza wanabadilika kutokana na timu husika wanayokutana nayo,ukiwaangalia uwanjani unaweza kuwachukulia poapoa ila ndio wanaenda hivyo bila kusahau madogo saivi wamekomaa tayarii naona kama tuna kikosi cha kusumbua UEFA misimu kama mitano hivi mbele mfululizo
Zidane yupo wapi siku hiziZidane na Casillas wamekuja uwanjani kuwakabidhi Benzema Courtois tunazo zao.,
Sijui anachofanya kwasasa, ila bado anakaa Madrid ma familia yake.,Zidane yupo wapi siku hizi