Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo anawangangania kinyama
FB_IMG_1672511774809.jpg
 
Tena wamo humu humu jukwaani kwetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Flano na OllaChuga Oc
Mwa-City inashabikiwa na vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000 hadi hivi sasa na havina tofauti na mashabiki wa Azam FC, na ukimkuta Mtu mzima mwenye akili timamu kabisa anashabikia Mwa-City basi ujue kabisa sababu kuu ni;

* Mkeka.

* Mapenzi ya Kocha Pep Kipara au aina ya wachezaji waliopo Mwa-City lakini si kama sisi wakongwe wa vilabu vya Arsenal, Man Utd, Liverpool, Chelsea, New Castle, Tottenham Hotspur, Real Madrid na Barcelona.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Chumaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] arsenal ni tamu kuliko tendo la ndoa
Tupen kombe letu [emoji471][emoji471]
NO JESUS NO PROBLEM
Arsenal haina shabiki kilaza kama wewe, punguza mahaba na uchawa sababu ya mkeka, ili usijewapatia mikosi Arsenal na wakakosa kabisa ubingwa wa EPL 2022/2023.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kuna uhusiano wowote wa Simba ikishinda na Asernal anashinda? Asipoangali anakula wiki huyu dogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom