Nikifukuzia mwanamke wiki mbili tu akagoma nampotezea

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,048
Reaction score
3,418
Wakuu,

Najua kila mtu ana utaratibu wake wa kupiga sounds hizi pisi.

Kimsingi, mimi nikiielewa pisi, nikamwaga verse ndani ya wiki mbili hainielewi, basi naipotezea kabisa.

Huwa masuala ya kuumizana akili na kupeana stress muda mrefu sihitaji.

Baada ya kusema hayo, nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu.
 
Na hiyo pisi isiombe niwe nakutana nayo na kuna kitu nimeizid nakwqmbia itaomba poo.

Sio kuvaa sio hela sio kula vizuri lazima nilipe kisasi cha kukataliwa kwa namna moja hata nyingine, pona yake nione tu kuna msela ndie kapewa chance hapo ndio nitatoa heshima kwake.
 
Wakuu,

Najua kila mtu ana utaratibu wake wa kupiga sounds hizi pisi.

Kimsingi, mimi nikiielewa pisi, nikamwaga verse ndani ya wiki mbili hainielewi, basi naipotezea kabisa.

Huwa masuala ya kuumizana akili na kupeana stress muda mrefu sihitaji.

Baada ya kusema hayo, nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu.
Na uache ujinga kijana
 
Back
Top Bottom