Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongea naye kikawaida.

Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano umepata 50,000 chukua 15,000 au 25,000 mtumie bila yeye kuomba halafu kaa kimya.

Usichat naye wala kuongea naye chochote, wewe tulia kama hujui chochote tu. Siku nyingine ukipata tena unamtumia unatulia tena. Majibu utayapata tu baada ya muda mchache.

Siyo x tu, mwanamke yeyote unayemtaka wewe fanya hivyo tu, hakikisha awe anajua namba zako basi.

Utanishukuru.
kwa style hiyo boda boda tusingepata mibususu...boda tunakula kwa ku-offer route ya buku tu au jero na tunachakazia vichakani na kwenye majumba mabovu,endelea na complication zako ukija kusikia kimasihara zake utajiona mjinga Senior wa dunia hii.
 
Halafu saiz wanaume hatutongozi Mzee kwa style hiyo saiz ukimtaka manzi una andaa mazingira tu utani utani tu kila ck haki ya shetan utashangaa mko mnanyanduana kila ukitafuta aliyeanza kumtongoza mwingine jibu hupati
 
Aisee,mimi huwa siweki fwedha mbele,huwa siingii kwa gear kubwa mwanzoni..namuingia mwanamke kutokana na jinsi alivyo..hata kama mtu wa dini nitaanza naye kidini dini hivyo hivyo.Ila siku akijichanganya kunitunuku,mimi ni kama Comodo dragon,nikikung'ata hata mara moja,bhaas tena,ndo ushakuwa mtumwa wangu..it will be her turn to do the chasing!
 
Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongea naye kikawaida.

Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano umepata 50,000 chukua 15,000 au 25,000 mtumie bila yeye kuomba halafu kaa kimya.

Usichat naye wala kuongea naye chochote, wewe tulia kama hujui chochote tu. Siku nyingine ukipata tena unamtumia unatulia tena. Majibu utayapata tu baada ya muda mchache.

Siyo x tu, mwanamke yeyote unayemtaka wewe fanya hivyo tu, hakikisha awe anajua namba zako basi.

Utanishukuru.
Childish
 
Akili za kindezi hizi.
Mtaliwa vijisenti vyenu muanze kuwaona wanawake wote nuksi.
Mwambie mwanamke hitaji lako sio kutuma vijisenti vyako kuona ndio utampata kirahisi.
Sahih kbsa hyu Ni katto eti Cha juz tusikape umuhimu alfu mademu anao watongoza ni Hawa hawa Chini ya grade na tuvitoto wahuni huwezi mpta mwanamke anaye jielewa kwa staili hyo atawala choka mbayaa tu ila siyo grade one
 
Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongea naye kikawaida.

Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano umepata 50,000 chukua 15,000 au 25,000 mtumie bila yeye kuomba halafu kaa kimya.

Usichat naye wala kuongea naye chochote, wewe tulia kama hujui chochote tu. Siku nyingine ukipata tena unamtumia unatulia tena. Majibu utayapata tu baada ya muda mchache.

Siyo x tu, mwanamke yeyote unayemtaka wewe fanya hivyo tu, hakikisha awe anajua namba zako basi.

Utanishukuru.
Utawala choka mbaya ila grade one ngumu Sana kuwapata kwa shilingi elf 15000

Bila milioni kadhaa kukutoka ubebi huyo mtot Hapo chini
IMG-20221014-WA0017.jpg
 
Mimi Samia Suluhu Hassan ninakukaribisha kwenye uzinduzi wa matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 uwanja wa Jamhuri Dodoma tarehe 31 Oktoba, 2022.
 
Wakubwa anaye jua mzizi wa kumpata kila mwanamke unaye mtaka tupeane maelekezo basi
 
Back
Top Bottom