Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,497
- 2,219
Kacheze play station utapata perfection unayoitaka. Binaadamu hao wanacheza.
Kwa mpira huu hata top 4 sidhani kwamba tutaipata.
Kwa mpira huu hata top 4 sidhani kwamba tutaipata.
Safi, kama siku ni mbaya ofisini tulinde ushindi tu periodTumepark bus sasa
Unafundisha timu gani?Arteta anaakili kweli upande kulia wa white amekua uchochoro Leeds wanapeleka mashambulizi mengi ila haoni,toa white ingiza tierney aende kushoto tomy aende kulia
Kind of shambolic. Nina siku sijaiona Arsenal ya hivi
Haiwezekani kila siku ukapata unachotaka, cha msingi point tatu zimepatikana?! Mapungufu yatajadiliwa. Haikuwa siku nzuriTulipaswa kuwa tumefungwa 3-1 mpaka sasa
Tukutane kwenye majumuisho nyie washakunakuWapi wazee wa ball la kuvutia mnatusagia kunguni man u kila siku pira bovu naona mnaomba game imalizike.
FACT!Alhamdullilah! hapa ndipo naona pana tatizo game hizi 2 za mwisho tumepelekewa moto na hawa vijitoto pressure imekuwa kubwa mno kwetu Next vs Southampton (Away game)Bonge la game, kipimo sahihi mnapokuwa na game mbovu mnaweza kuhumili pressure? Mkapata goli na kulilinda? Hakuna cha kulaumu. Ni binaadamu wale, sio PS. Cha msingi point tatu ugenini.
Hello Mbwa jike!Leeds United ndyo tunaanza ligi Leo mkipata hata draw nyie arsenyeto mniite mbwa nimekaa pale![]()
Chizi yule.Mwishoni Gabriel akataka kutulaza na viatu dah