Recent content by Jacob Mchapwaya

  1. Jacob Mchapwaya

    Uchambuzi: Simba ya robertinho ilikuwa Bora kuliko hii ya Benchika

    Timu inapopitia mapito hata kama akija Pep Guardiola bado tutateseka... Kiufupi Simba SC inatakiwa ifanye maamuzi magumu hasa kwenye usajili, iache huruma... Fumua kikosi chote, kisha ingiza maingizo mapya! Bado tuna nafasi ya kusahihisha makosa yetu.. Kukosa mapinduzi isiwe sababu ya kutoka...
  2. Jacob Mchapwaya

    Ukweli Kuhusu Wahafidhina Wanaomnanga Hayati Magufuli

    Haya ni malalamiko au hoja?? Haya ndio madhara ya kuzaliwa Kwa bahati mbaya... Tunachambua mambo Kwa hisia na sio Uhalisia: Changamoto kubwa sana hii
  3. Jacob Mchapwaya

    Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Greenhouse kama hii sh.ngap?
  4. Jacob Mchapwaya

    Ushuhuda: Kilichonifanya niwe Muhasibu badala ya I.T

    Mbona hujaeleza unaiwezaje kompyuta? Fafanua kidogo mkuu mana yawezekana unadiscourage kitu usichokijua... Mm nahis huijui kompyuta ndio maana hujaisoma!
  5. Jacob Mchapwaya

    Neutralization kwenye siasa - matukio mbalimbali

    Hujachelea nenda ukafie Marekani.. Tutakuita mbwa
  6. Jacob Mchapwaya

    Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

    Hii nayo ni propaganda mitandaoni... Kitu kama huna uhakika nacho usikilete huku! Vifurushi vya chuo tigo bado vipoooo!!!
  7. Jacob Mchapwaya

    Updates Tanzania vs Botswana

    Umepatia kijana
  8. Jacob Mchapwaya

    Watanzania tuombe Maandamano ya amani kuomba katiba mpya.

    Itakuwa juma ngapi? Mana mm niko bize j3 to j1 nasaka pesa. Jumapili namtukuza Mungu!
  9. Jacob Mchapwaya

    Tafsiri Ya Mahakama Kuu Kenya Kutangaza Uchaguzi Mkuu Kenya Ni Batili..

    [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
  10. Jacob Mchapwaya

    Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

    Nitamwoa nitakayependa kutoka moyoni na atakayenipenda pia... Hivyo vigezo vyako peleka shuleni watoto wakajibie mtihani, mahusiano siyo kama unavyoyafikiria... Si jambo la kufikirika kama unavyodhani. WANAWAKE WOTE WANAFAA KUOLEWA
  11. Jacob Mchapwaya

    Diwani Bananga wa Sombetini Arusha: Kwanini CHADEMA wanamuunga Uhuru Kenyatta

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Back
Top Bottom