Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

kipooooooooooooooooooooooooooooooo hakijaondolewa nimejiunga just right now
 
Hii nayo ni propaganda mitandaoni...
Kitu kama huna uhakika nacho usikilete huku!
Vifurushi vya chuo tigo bado vipoooo!!!
 
Voda chuo karibu pm vifurushu vya chuo vyente dk na mb nyingi
-kwa line mpya na kuunganishwa bei 2000 tu
 
Attachments

  • IMG-20180330-WA0094.jpg
    IMG-20180330-WA0094.jpg
    48.8 KB · Views: 50
ttcl kiboko
Mashirika ya serikali huwaga soyaamini hata kidogo. Wanasubiri muwe wengi ili huduma izolote

Mfano ni Tanesco. Wanafanya wanachojisikia. Wakiamu kukata wanakata muda wowote.

Mpaka wajirekebishe hawa wengine ndo nitajua sasa mashirika yetu yapo serious
 
Hata halotel walianza hivi hivi...wakasepa na kijiji...Ila sa hivi wamejisahau na Mb wamepunguza
 
Mushukuru Mungu TANZANIA mitandao very cheaper aise. Ila wasije wakatubadilikia kwa baadae...
 
Back
Top Bottom