Hatimaye mwisho wa dunia umefika, usipuuze hii

Hatimaye mwisho wa dunia umefika, usipuuze hii

Hyo sept kuwa kuwa kuna sign ya mwanamke. Hyo ni Nyota ya Virgo na symbol yake ni mwanamke. Na inarange sijui kuanzia trh ngapi mpk hyo 23. So hizo ni kamba kama kamba zingine za viatu
 
Naona watu wanatokwa povu kisa wameambiwa mwisho wa dunia, ni lazima kutambua kwamba matukio na ishara za mwisho wa dunia zimeandikwa kwenye maandiko na pia zinaweza kuonyeshwa kupitia ndoto na maono. Tuwe waangalifu
 
Hakuna mwisho wa dunia [emoji53], we ukishakufa ndio mwisho wako, acheni kuamini hivi vitabu vya wazungu, vitawafanya muwe machizi, wacheni ujinga woi [emoji54]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
c62ea9c03e28373d82768bb4bdbfe6cb.jpg

Jiwe kubwa zaidi kuwahi kupita karibu na dunia katika kipindi cha karibu karne moja linatarajiwa kupita karibu na sayari ya dunia umbali wa karibu maili milioni 4.4 , kimesema kituo cha masuala ya anga za juu cha Marekani, Nasa.

Vipimo vya Florence vilikadiria umbali wa maili 2.7 sawa na kipenyo cha 4.4 na kwamba jiwe hilo halina tisho kwa dunia kwa karne zijazo

Mawe mengine yaliyowahi kupita karibu na dunia, yalikadiriwa kuwa ni madogo sana.
Mawe hayo ambayo yana umbo la vifusi upande wa kushoto ni masalia yaliyobaki wakati wakuundwa kwa jua na sayari.

Jiwe la Florence - lililogundulika mnamo mwaka 1981- linaweza kuwa mara 18 ya wastani wa umbali baina ya dunia na mwezi.

"Florence ni jiwe kubwa zaidi kuwahi kupita karibu na dunia yetu tangu kuanzishwa kwa mpango wa shirika la anga za mbali la Marekani NASA wa kuchunguza na kubaini mawe yaliyopo karibu na dunia ," Amesema Paul Chodas, meneja wa kituo cha NASA kinachochunguza vitu vilivyopo karibu na dunia katika taarifa yake.

Ugunduzi wa mwaka 2017 ni wa jiwe la angani lililopo karibu tangu mwaka 1890 na ukaribu huo hautawahi kutokea hadi baada miaka 2500, shirika la masuala ya anga la Marekani limeongeza.

Mpango wa wanasayansi kuchunguza ukaribu wa jiwe, kwa kutumia mtambo wa rada wa ardhini unafanyika California na Puerto Rico.

Wataalam wa anga za juu pia watakuwa wakilichunguza jiwe hilo yamesema majarida ya masuala ya anga ya Sky na Telescope.

Jiwe ni rahisi kuliona kwa kutumia kifaa cha uchunguzi , si kwa sababu tu ni kubwa , lakini pia kwa sababu huakisi 20% ya mwanga wa jua ambao huchoma kwenye sehemu yake ya chini.

Kitu chenye ukubwa wa Florencekinaweza kuwa na athari ya kugonga dunia. Wanasayansi wanaamini kuwa sasa wamebaini zaidi ya 90% ya miamba ya aina hiyo ya kutisha inayopita angani karibu na sayari yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu wanatokwa povu kisa wameambiwa mwisho wa dunia, ni lazima kutambua kwamba matukio na ishara za mwisho wa dunia zimeandikwa kwenye maandiko na pia zinaweza kuonyeshwa kupitia ndoto na maono. Tuwe waangalifu
asante kwa somo nzuri..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu bwana!
Hawataki tufatilie habari za Kenya!
 
Hakuna mwisho wa dunia [emoji53], we ukishakufa ndio mwisho wako, acheni kuamini hivi vitabu vya wazungu, vitawafanya muwe machizi, wacheni ujinga woi [emoji54]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siyo lazima wote tuamini kile unachoamini, hata vitabu vingi vya kitaaluma tunavyosoma vimetungwa na hao hao wazungu sanjari na teknolojia mbalimbali tunazozitumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom