Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

Kuongezea tu hapo kuna wengine chuchu zimelala kama mbwa ,hao ni wakupiga chini
 
Mmh. Badala muoe mmebaki kutapatapa. Na kutafuta kasoro zisizo na kichwa wala miguu kila kukicha kazi kumchambua mwanamke tu. Khaaa.

Hakuna aliyejiumba lakini mkuu, hivyo wenye hizo kasoro hawapaswi kuolewa.
wataolewa na ambae hazijui hizo kasoro mkuu,that simple!
 
Mmh. Badala muoe mmebaki kutapatapa. Na kutafuta kasoro zisizo na kichwa wala miguu kila kukicha kazi kumchambua mwanamke tu. Khaaa.

Hakuna aliyejiumba lakini mkuu, hivyo wenye hizo kasoro hawapaswi kuolewa.
Wataolewa na watype yao.

[HASHTAG]#Punda[/HASHTAG] hana elimu lakini kaz anapata.
 
Nitamwoa nitakayependa kutoka moyoni na atakayenipenda pia...
Hivyo vigezo vyako peleka shuleni watoto wakajibie mtihani, mahusiano siyo kama unavyoyafikiria... Si jambo la kufikirika kama unavyodhani.
WANAWAKE WOTE WANAFAA KUOLEWA
 
Mmh. Badala muoe mmebaki kutapatapa. Na kutafuta kasoro zisizo na kichwa wala miguu kila kukicha kazi kumchambua mwanamke tu. Khaaa.

Hakuna aliyejiumba lakini mkuu, hivyo wenye hizo kasoro hawapaswi kuolewa.
Maisha yanachapa Dada kilichobaki kuchunguza wanawake tu hahahaa.
 
Back
Top Bottom