Recent content by Jabusanga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    Wewe ndio wa ajabu kweli,naona majibu unayo hukutakiwa hata kupoteza muda wako kuandika haya..
  2. J

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema hatarini kufungiwa makala 'kila awamu ina rekodi ya kuua', mtego kwa JK

    QUOTE=Mzizi wa Mbuyu;3583122]Mimi nikifikri zaidi na zaidi....... Wala makala hii si sababu, sababu ni Ulimwengu. Siku hizi ameanza kurusha makombora ya hapa na pale kwa JK, mengine yanaonekana kama kumdharirisha kabisa kwa mfano hivi karibuni aliandika kuwa raisi wa sasa ni kama anaomba Mungu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    Hata mimi nimemuona
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

    Huo ndio ukweli wenyewe
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Mwakyembe leo ndio ilikuwa siku ya kuweka hadharani vile viporo vya Richmond. Na kesho unarudi tena India kwenye matibabu na hatujui kama utarudi salama halafu maadui zako ndio utakuwa umepa ushindi.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nape, 'Kujivua Gamba' ni danganya toto??

    Too low. Nova anasubiri majibu ya Nape ambayo anaendelea kujibu. You are the one gossiping.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Meli ya Mizigo Zanzibar, inawaka Moto bandarini

    Acha hizo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa rais wa zamani wa Zambia akimbia nchi kuogopa kuwekwa ndani kwa ufisadi je wetu wanaliona?

    Ana miaka 3 tu mambo yatakuwa kama ya mtoto wa Banda
  9. J

    JamiiForums Tanzania Bungeni: TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi navyo vyaungana

    Kipima Pembe ulichoongea ndio ukweli uliopo.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Dodoma; Tafsiri Yangu

    Maggid endeleza libeneke kama wabena wanaolalamika ndio wafukuao pinde na mishale.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wachagga tuu!!

    mmhh hiyo kiboko
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2010 Nikishainyima kura ccm 2010 watafuatia vibaraka wao wote!!

    Na hiyo ndio itakuwa namna nzuri ya kuwafuta wote katika kona zote. baada ya hapo najua hata biashara nyingi zitaanguka maana wafanyabiashara wakubwa wote wapo kwenye mtandao huo ama kwa kulazimishwa.
Back
Top Bottom