Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

hao madaktari wahukumiwe kifo kwa kila mgonjwa atae kufa kuanzia amri ya mahakama ya kuwata warudi kazini ilipotolewa.
listen you masaburi type of a guy!
You can force a donkey to go to the river but you can not force it to drink your filthy water!
 
Hao madaktari wahukumiwe kifo kwa kila mgonjwa atae kufa kuanzia amri ya mahakama ya kuwata warudi kazini ilipotolewa.

Vipi wanafunzi wanaomaliza darasa la Saba bila kujua kusoma wala kuandika waalimu tuwafanye nini?
 
Tatizo ni pale madai hayo yanapoambatanishwa na madai ya mshahara wa milioni 3.....difficult to comprehend........

Hivi serikali iliwezaje kulipa shilingi milioni 152 kila siku kipindi cha richmond?hivi pesa za rada zimeliwa kiasi gani tukiachia zile zilizogundulika na zikabatizwa jina la chenji ya rada,kana kwamba tulilipa kiasi kadhaa na kisaha muuzaji akawa hana chenji,je zile za rada alizokula chenge naye akazibatiza vijisenti,pesa zililiwa kwenye sakata ya EPA,kumbuka zilizoliwa na kina kagoda,meremeta nk,juzi tu tumeambiwa zingine ziko Swiss bank zaidi ya billion 300,na ufisadi mwingine mwingi tu.je ni kweli haiwezekani kulipa mishahara mizuri kwa madaktari wetu?hata kama si kwa kiwango cha mil 3 walivyoomba madaktari je offer ya serikali walitoa ngapi?maana serikali hawakutoa offer,leo unawalaumu si upuuzi huo.wote mnashabikia ujinga na kuwakatisha tamaa madaktari juu ya kutetea maslahi yao,maslahi ya wananchi na kuleta mapinduzi yenye tija katika sector ya afya mlaaniwe kabisa.
 
BornTown....chonde chonde kidole na macho.....huyo wa liwalo na liwe athari za mgomo hazimgusi kwa namna yeyote ile...yawezekana hata mimi na wewe hatutibiwi kwenye hizo hospitali za waliogoma au tunakutana nao Regency, Aga Khan, Hindumandal nk....Je watanzania wenzetu wote including ndg zako waliotawanyika maeneo mbali mbali wana uwezo wa kutibiwa huko?? Kwa sasa tu wazima hatujui kesho tutajikuta katika mazingira gani (kama ambavyo Ulimboka hakujua pia)...Mgomo wa madaktari kamwe sio jambo la kushabikia na wanaoadhibiwa katika mgomo huu sio wahusika kwani adhadbu hii haiwagusi wahusika (serekali ) moja kwa moja....
i beg to submit....
Mkirua una matatizo, hivi serikali inapofanya maamuzi ya kijinga wangapi wanaatirika na kwa kiwango kipi? unaweza kueleza, na kwa nini unashindwa kujua kila mtu above 18 ana wajibu kwa kila jambo linalomzunguka, raia asipopiga kura atawajibika kwa hilo be it kwa mazuri au kwa mabaya, watu gn hao unaowatetea ambao hawawajibiki kwa haya yanayotokea, either kwa kukaa kimya kwao, au uchaguzi mbovu wa wanaotoa maamuzi au uzembe mwingine wowote ulioleta hali hii.., hebu eleza bwana, sioni maana kila wakati kuelezea madhara ya matokeo ya hali hii bila kueleza chanzo na vilivyosababisha, utapataje suluhisho..!
 
Hao madaktari wahukumiwe kifo kwa kila mgonjwa atae kufa kuanzia amri ya mahakama ya kuwata warudi kazini ilipotolewa.
Bogus,ndio maana mlitaka kumuua ulimboka,safari hii 2taona
 
Imekuwaje amri ya Raisi Dhaifu JK ikashindwa usicheze na mungu muuaji mkubwa ni KIKWETE ambaye fedha za kununulia dawa yeye amempa mwanawe ridhiwani anunue malori 10,000,mwanae halfani kipande chote cha kigamboni anakimiliki,Miraji viwanja vyote vya burka,na fedha zote za safari zake zilizobaki kazihamishia taasisi ya mkewe WAMA, hizo zote ukijumlisha wangepewa akina ulimboka na wafanyakazi wa sekta nyingine ya afya wangekuwa sasa hivi wanatutibu Muhimbili


Jaribu kuwa serious kidogo watu wanaongelea mambo muhimu ya msingi wewe unaleta mambo yasiyo na ukweli wowote.
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!

even bajeti ya nchi inahitaji pesa mkuu,,,hutak pesa wewe????dawa zinakosekana na watu wameficha mabilion abroad hawa nao si wapenda pesa????
 
Ngoja tusikie Waziri mkuu atasema nini leo.

Kaufyata! baada ya jaribio la kumuua Uli lazima kapata tumbo la hiari! lolote atakaloongeza juu ya "LIWALO NA LIWE" lazima litachafua hali ya hewa zaidi na madhara yake yatakuwa makubwa zaidi, lazima aufyate kwa sasa.
 
Kuna hii myth eti madaktari wanapigania kuboreshwa huduma za afya!

Hawana cha huduma za afya wala nini kwao muhimu ni pesa tu hata ikibidi watu wafe wao wapate pesa!

Madaktari wamechoka kushuhudia watanzania wakipoteza msia kwa kukosekana kwa sindano za kuwatundikia dripu, akina mama wakipoteza wato to wachanga kwa kukosekana kwa pmpu za kuwanyonya maji machafu vichanga hivyo vilivyomeza wakai wa kujifumgua ambazo huuzwa si zaidi ya Shilingi elfu 20,000/= n.k
 
Ngoja tusikie Waziri mkuu atasema nini leo.
waziri mkuu bwana pinda akili ameghairi kutoa kauli ya serikali bungeni leo, eti amegundua kwamba hilo swala linashughulikiwa na mhimili mwingine.........!! Ndo uwezo wa akili za viongozi wenu ulipoishia hapo,wanatishia kujamba wakati wanaumwa diarhea.
 
Jaribu kuwa serious kidogo watu wanaongelea mambo muhimu ya msingi wewe unaleta mambo yasiyo na ukweli wowote.
Ukweli wenyewe ndio huo Kikwete alidhani IKULU nikwenda kucheza ndomboro na kujinufaisha yeye na familia yake he has to rip what he saw
 
Tulio mikoani tunaona mazingira mabpvu ya kazi ambayo madaktari wanalazimishwa kufanyia kazi kitu ambacho kina ulimboka kinawapa nguvu kufanya mgomo, si kuttea maslahi yao bnafsi tu bali ya watanzania. Nyie mnaotukana madaktari ndio ninyininyi mnao lalamika huduma mbofu kisa mkienda hospitai mkiambiwa mnunue vifaa wakati vinatakiwa kutolewa bure ila gov haitimilizi, wao wanaenda nje! Hospitali moja kubwa wakati fulani ilikua haina hata syringe...these are the issues mgomo huu una adress, na ndio maana utaendelea.
 
Hizi ni propaganda za kisiasa zinazosambazwa na kushabikiwa na wahuni, wachochezi na walafi wa madaraka; kwa ufupi hali katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa leo ipo shwari Madaktari wameshatii order ya Mahakama na wanachapa kazi kama huamini pita ujionee mwenyewe hali inavyokwenda; Aidha kuna upungu mdogo wa Resident Docka ambao huwa ni wanafunzi wa Chuo cha Muhimbili kwa masamo ya Udaktari Bingwa ambao kwasasa wapo katika likizo ya wiki Mbili kujiandaa na mitihani ya UE ambayo itaanza tarehe 9/7/2012; hivyo pengo lililo achwa na Resident Doctor ambao hufanya kazi za mabingwa ndio kunafanya watu wasiofatilia mambo kwa kina kufikiri kuwa kuna Mgomo wama daktari Bingwa kumbe sivyo.

Wananchi msipotoshwe na kikundi cha watu wachache wakiwemo viongozi wa Jumuia ya madaktari ambao wanalazimisha mgomo kuwepo sivyo kwa maslahi ya wanasiasa wachache wanaowatumia bila kujali uhai wa Mtanzania
speacilists at MNH -TOTAL TOOLS DOWN,Watamtibu mgonjwa mmoja tu-jemedari ulimboka stephen.
 
[h=6]madaktari.
Washenzi kabisa.
Pengine hawana dini ni 'makafiri'.
Mmepewa fani muhimu sana kwa maisha yetu kama wanadamu.
Mnapogoma kwa sababu ya madai yenu kwa serikali, hamtutendei haki watanzania, hasa sisi wa kipato duni tunaojazana kwenye hospitali zenu zenye huduma mbofu mbofu.
Eti mnagoma kuishinikiza serikali, hao wakubwa waa swrikalini wana uwezo wa kutibiwa popote hata kama msingekupo ninyi.

Kuna wapumbavu wengine wanalishabikia hili suala kisiasa, acheni hizo.

Fikiria kama wewe ndo ungekuwa pale na mgonjwa wako mahututi halafu unambiwa kuna mgomo..

Uzalendo unahitajika!

Mbona enzi ya mwalimu hakukuwa upuuzi huu?

Eti migomo inatokea wakati huu ambao wenye taaluma hiyo tunashudia wakiishi maisha ya kifahari.[/h]

Wewe ndio wa ajabu kweli,naona majibu unayo hukutakiwa hata kupoteza muda wako kuandika haya..
 
Madktari komaeni mpaka kieleweke.Namtakia afya njema Dr. Ulimboka.
 
Bogus,ndio maana mlitaka kumuua ulimboka,safari hii 2taona

Ulimboka hakutaka kuuawa angetakaiwa afe asingekuwepo leo kuonesha majeraha. Huyo katumiwa na watu wenye kuta hii nchi isitawalike, na wewe unawajuwa ni kina nani.
 
listen you masaburi type of a guy!
You can force a donkey to go to the river but you can not force it to drink your filthy water!

Who is forcing who here by using the blood of our poor sick? Think!
 
Back
Top Bottom