Bungeni: TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi navyo vyaungana

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,295
1,250
A smart move from CHADEMA, they avoided the risk of swimming with the sharks (CUF) as they could bite back anytime.
 

Mshindo

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
478
195
Ukiangalia ndoa ya CUF na CCM kule Zanzibar ni vigumu sana kuamini kuwa CUF inaweza kushirikiana na Chadema kwenye kambi ya upinzani. I was skeptical kwa mara ya kwanza nilipoona eti CUF na Chadema watashirikiana. Labda kama CUF ni mbili. Lakini ikiwa CUF ni moja siamini kuwa CUF ile ile inaweza kuwa na alliance na Chadema.

CUF vile vile kwenye bunge la muungano wanajiona kama losers kwani wamepoteza nafasi yao ya kuwa main opposition party. Wamepoteza nafasi yao ya kuwa main opposition party kwa Chadema si CCM. Kwa hiyo naturally CUF haiwezi kumpenda Chadema. Hata ukiangalia kwenye uchaguzi, inaelekea strategy ya CUF na CCM ilikuwa inafanana na wameshinda wote maeneo ya pwani. Kwa hiyo in future ukiangalia vizuri kwenye kurunzi, CUF wanajiona kuwa hawako tofauti sana na CCM.

Hata kampeni zao unaweza kuona kuwa CUF hawakuwa against CCM kihivyo.

Jingine ni kuwa CCM wanauona wingi wa Chadema kama threat kwao. Hivyo wako tayari ku-extend mkono kwa chama kingine. Naturally NCCR alikuwa ni direct ally wa CCM. Kampeni za kawe zilithibitisha kuwa NCCR was more against Chadema kuliko against CCM. Hili ni la muda kidogo. NCCR kina MPs wanne tu. Kwa hiyo CCM kumvutia CUF upande wake ni kupunguza nguvu ya upinzani kwani wabunge 45 wa Chadema ukijumlisha na 30 wa CUF, opposition ilikuwa inakuja na wabunge 75. Hiyo si nguvu ya kupuuza kwa CCM hivyo kwao itakuwa vizuri Chadema wakibaki peke yao.

Overall ni kuwa katika Bunge lijalo opposition itakuwa ni chadema peke yao. Na hilo litawajenga zaidi. Hawa wengine kina UDP, TLP, NCCR na CUF obviously watahamia kwa CCM. Pepo zote za kisiasa zinaonesha hivyo.
Nimekugongea senks mkuu! It's a hard truth! Njia bado ni ngumu,safari bado ni ndefu! Tunahitaji moyo mkuu na hatua za kijasiri zaidi. Thinking simply unaweza kudhani namna rahisi ilikua kwa CHADEMA kuwabembeleza wapinzani wenzake kuungana,right? Lakini Critically thinking,with a bigger picture,This rough and tough decision waliyochukua CHADEMA yafaa kabisa. Kama umewahi kushiriki walau katika vita moja waweza kuelewa. Tunaweza kulazimika kupitia walikopita upinzani Kenya,tukapata akina Kolonzo Musyoka hapaa,hiyo nayo itakua ni nusu tu ya safari,kisha tutatakiwa kwenda mbali zaidi ambako hata Kenya hawajafika bado. FREEDOM IS COMING TOMORROW!
 

tarita

Senior Member
Feb 14, 2008
156
170
Hali ni ile ile CHADEMA walikuwa wanyonge and they were no threat to them. Sasa hivi ni zaidi yao. Hivyo wivu umeinuka na kutawala fikra zao. Kwa sasa wanyonge kama NCCR, TLP, na UNDP NDIYO MARAFIKI WAO.
Mawazo yao na jinsi ya kuangalia mambo hayajabadilika. As long as they are number one in the opposition camp, hawajali nani wanamshirikisha lakini mambo sasa yamebadilika, na mawazo yao hayajabadilika. Hivyo ni sawa kwao kushirikiana na vyama poa.
Jambo wasilolijuwa ni kwamba kuna hatari ya kupoteza kabisa na kuinguza kabisa picha yao bungeni itakapofumuka mijadala mikali bungeni yenye maslahi kwa Taifa. Wasisahau mijadala kama hii ndiyo iliyozaa kimbuka kilichoikumba CCM,hata kuponea kuwa manyangau wa Kura.
Hata Anna Makinda, spika mpya anaweza akapoteza kabisa heshima yake asipoangalia.Watanzania wa leo sio wa jana .
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
12,684
2,000
Baada ya chadema, kutangaza kiongozi wao wa kambi ya upinzani bungeni, vyama vingine vinne vimeamua kuungana na kuwa na kiongozi wao huko bungeni vyama hivyo ni TLP, CUF , UDP NA NCCR MAGEUZI

source TBC1( MUKTASARI WA HABARI)
Hawa ndiyo vibaraka wenyewe wa CCM!!! Mbatia alitumwa Kawe aka-dilute Halima Mdee, akakwaa kisiki!!! CUF=CCM, UDP ni kwa yule mzee mapesa ambaye hata kambi ya upinzani ilimvua cheo kwa kuwasaliti aliposhabikia kilimo kwanza ambacho ni siasa za maji taka ambazo hazina resources, hebe leteni wasifu zaidi. Hakuna kitu hapo wakuu. Wanafiki hao tu!! TLP Mrema kule Vunjo kijana wa CCM aliambiwa amsindikize angalao apate ubunge wa kumalizia maisha!!!! Ni kiinua mngongo cha kazi yake kubwa ya Usalama wa Taifa na amehitimisha vizuri kwa kuua vyama na upinzani wenye nguvu!!! Wewe sikiliza kauli za Mrema ndipo utagundua kuwa si Mwanamapinduzi wa kweli.
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
12,684
2,000
Tena nawaasa CHADEMA wakitaka kushinda wasikubali kabisa kuyumbisha na hao opportunists!!! Ninaamini CHADEMA ni Chama makini na kitaweza kusimama peke yake kama kilivyofanya wakati wa kampeni. Hao wapinzani wengine walikuwa wanauma na kupuliza tu. Yaaaaaani kama CUF yangu macho. Chadema we believe on you, tena sauti yenu isikike ili 2015 muwe tu ndiyo mliosikika kwa watanzania. Jua kuwa hata vijijini wameshafunguka, wale wazee wanang'atuka na vijana wanachukua usukani so upinzani utakuwa tu sina shaka!!! Hata kama ni mwaka 2020 bado naamini SSM ndiyo imefiwa mkononi kwa Mkwere!!!
 

chidide

Member
Nov 11, 2010
91
0
Nawashauri wabunge wa NCCR kuwa wao bado wana safari ndefu sana , ni chama kilichokuwa kinafanya siasa zake ukumbi wa maelezo. Now wameweza kupata viti vinne Kigoma. Wawe makini na vyama vingine ambavyo toka mageuzi yaanze havijaweza kutuonyesha nia ya kweli na dhati kutukomboa watanzania. Waangalie maamuzi wanayoyafanya ni kwa ajili ya watanzania waliowachagua?
 

MFILIPINO

Senior Member
Aug 19, 2010
157
0
Nafikiri CHADEMA wanatakiwa kutambua kuwa watanzania wanawaangalia wao kwa uongozi wa upinzani bungeni. Na kiongozi mzuri ni yule mwenye kuunganisha watu wake. Bunge lililopita Hamad alikuwa kiongozi wa kambi ya upinzani kwa nini wasimpe hata umakamu this time?. Mnawakatisha tamaa watanzania kwenye hili na mjue kuwa mvua huwa hainyeshi upande mmoja 2015 inaweza ikanyeshea upande mwingine.

Kumaliazika kwa uchaguzi mmoja ni mwanzo wa maandalizi ya uchaguzi ujao. CCM watatumia miaka mitano hii kuhakikisha CHADEMA kinakuwa hoi kabla ya 2015, believe me CHADEMA onesheni uongozi, acheni ubabe wabebembeleni CUF kwa mustakabali wa CHADEMA 2015
CUF wanafiki si mnamuona maalim seif anachekelea kabisa tofauti ya 0.1% hata hajalalamika faster kakubali matokea, sasa hivi hao ni nyumba ndogo ya MCC.
 

MFILIPINO

Senior Member
Aug 19, 2010
157
0
nashukuru mkuu umeiona point, chadema wanajiona vichwa juu kwa wabunge 45 tu wakati cuf in 34. Bunge lililopita chadema walikuwa na 11 na walipewa nafasi ya naibu kiongozi wa pinzani leo cuf in 34 hakupewa hata nafasi ya naibu, eti wamekapa ka-zito, sijui wanakaogopa katavuruga chama? Kusema kweli kama chama kinaweza kuvurugwa na kavulana kama zito, basi hakuna chama hapo na nashukuru mungu hakikushinda uchaguzi. Hata kama kura zilichakachuliwa, zitabarikiwa na mungu, hikichama walahi kingeichakachua nchi nzima kwa ubinafsi. Kueni kwanza (watoto wote mnaoishabikia chadema) mtayaona!
acha hizo si wameambiwa waungane hamad rashid akakataa sasa ulitaka walazimiswe nin?
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,854
2,000
Baada ya chadema, kutangaza kiongozi wao wa kambi ya upinzani bungeni, vyama vingine vinne vimeamua kuungana na kuwa na kiongozi wao huko bungeni vyama hivyo ni TLP, CUF , UDP NA NCCR MAGEUZI

source TBC1( MUKTASARI WA HABARI)

Hivi ndoa hii ilifikia wapi?
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,854
2,000
Hawa ndiyo vibaraka wenyewe wa CCM!!! Mbatia alitumwa Kawe aka-dilute Halima Mdee, akakwaa kisiki!!! CUF=CCM, UDP ni kwa yule mzee mapesa ambaye hata kambi ya upinzani ilimvua cheo kwa kuwasaliti aliposhabikia kilimo kwanza ambacho ni siasa za maji taka ambazo hazina resources, hebe leteni wasifu zaidi. Hakuna kitu hapo wakuu. Wanafiki hao tu!! TLP Mrema kule Vunjo kijana wa CCM aliambiwa amsindikize angalao apate ubunge wa kumalizia maisha!!!! Ni kiinua mngongo cha kazi yake kubwa ya Usalama wa Taifa na amehitimisha vizuri kwa kuua vyama na upinzani wenye nguvu!!! Wewe sikiliza kauli za Mrema ndipo utagundua kuwa si Mwanamapinduzi wa kweli.
ETI zamani walikuwa vibaraka na leo wanafunga nao ndoa
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,854
2,000
Chadema tusimame kwa miguu yetu yenyewe, at the end of the day sisi ndio wapinzani halisi, na wananchi tuwape Support viongozi wetu.
Naona miguu yenu imeshindwa kuhimili mizigo na sasa mnaomba msaada wa miguu ya wenzenu
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,424
2,000
Naona miguu yenu imeshindwa kuhimili mizigo na sasa mnaomba msaada wa miguu ya wenzenu
Siasa kijana hizo! 1978 wakati wa vita ya Kagera Gadaffi alikuwa adui yetu namba 2 kwa vile alikuwa anamsaidia Amin vifaa na askari. Lakini nini kilitokea baadae? Huyo huyo Gaddafi na serikali yake wakawa marafiki wakubwa wa serikali ya CCM na misaada kibao mkapokea mpaka mafuta ya bure mlijichotea. Hivyo katika siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu muhimu malengo yenu ya wakati huo na ujao.
Ila kwa tabia zenu CCM zinazofanana na za wachawi,hata mkigeuka kuwa chama cha upinzani hamtaweza kushirikiana na chama chochote maana lazima mufe.
 
Top Bottom