Maalum kwa wachagga tuu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalum kwa wachagga tuu!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ambassador, Oct 13, 2010.

 1. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Chuo maalum kwa ajili ya vijana wa kichagga kimefunguliwa hapa Kiborloni, Moshi. Kinatoa kozi zifuatazo:

  1. Ulevi - Mwezi mmoja
  2. Ujambazi - Miezi sita
  3. Kuchoma mtu kisu - Wiki moja
  4. Kuchoma nyama kwenye baa - Miezi miwili
  5. Kung'arisha viatu - Wiki tatu (maalum kwa vijana wa Rombo)
  6. Kuuza duka - Miezi mitatu; (hardware)
  7. Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani - Miezi minne
  8. Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa - Miaka miwili
  9. Kufuga ng'ombe - Mwaka mmoja
  10. Kutengeneza saa na simu - Miezi miwili (maalum kwa vijana wa uru)
  11. Kuuza bucha - Wiki moja.(maalum vijana wa kibosho)
  12. Kuendesha pick-up - Miezi minne (stout)
  13. Kugombea udiwani - Miaka miwili
  14. Kuendesha pikipiki za bodaboda na bajaji - Wiki sita
  15. Kuchakachua mafuta - Mwaka mmoja
  16. Kupata kazi TRA - Miezi mitatu
  17. Kukwepa kodi - Wiki nane
  18. Kununua mashamba - Mwezi mmoja
  19. Kuoa wake wengi - Wiki mbili
  20. Kukatisha tiketi kwenye magari ya Moshi, Dar na Arusha ni bure

  Watakaojiandikisha mapema watafundishwa bila malipo, jinsi ya kuishi eneo la Kimara, Dar es salaam.
   
 2. J

  Jabusanga Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mmhh hiyo kiboko
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ngoja waje hapa usikimbie ukipewa majibu!

  Lakini hata hivyo umesahau KOZI moja, nayo ni:
  21.Kuendesha fikao fya mazishi kwenye Bar(wiki 1)!
   
 4. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Maweee! unautani na wakwe zangu
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Dah, mzee hiii kali
   
 6. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Teh teh teh! Nawasubiri tu. Hiyo kozi muhimu, itabidi tuongeze kwenye curriculum.
   
 7. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  kumbe wa uru kishumundu wajanja pia, maana nasikia ilipowekwa ile sanamu ya askari pale moshi wauru walipoiona wakaacha hapo hapo ndizi zao walizobeba kuuza wakiugopa askari yule mwenye bunduki atawapiga risasi.
   
 8. Shidende

  Shidende Member

  #8
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Vuipi kusali sana baada ya kupata mali??
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hebu nielekeze chuo kiko maeneo gani....ni hapo karibu na Onyonya Ukunonze au kule juu karibu na kwa Malisa?.....au ni maeneo ya Msaranga?....info pls
   
 10. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pretta nawe mwenyeji!
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Je kupata wake wasomi na wenye pesa muda gani? maana wachaga hatuoi mke tunaoa pesa yake na kazi yake
   
 12. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  umesahau kosi ya kutengenesaa mbege...wiki 2, pia kupika michemshooo...wiki moja.
   
Loading...