tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,434
Kwa jinsi ninavyoichukia CCM kwa mabaya wanayoifanyia nchi hii na wananchi wake yaani we acha tu!! Nimeamua kwamba nikishainyima kura CCM 31st October, 2010 (of course tangu mfumo wa vyama vingi uanze sijawahi kuipa kura CCM), nita-extend hiyo move hadi kwa vibaraka wao woote waliotumika kipindi hiki cha kampeni kama vile wanamuziki (Bushoke, Marlaw, Flora Mbasha, TMK Wanaume nk), vikundi ya sanaa (Ze Orijino Komedi nk), TV Stations (ITV, Startv nk), Radio Stations (Clouds FM), magazeti (ya shigongo yaani yale ninayosoma kama vile champion). Naapa hizi TV na Radio stations nitazipiga marufuku nyumbani kwangu.