Recent content by Itezi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya mabati imara ya kuezeka nyumba

    Nimefurahi kuona hii mada, mi nimenunua Mabati ya DRAGON ila sijachukua kiwandani, nimelipa pesab tu na nililipa bila kufanya utafiti najaribu kupata ukweli lakini bado , kwa anaejua naomba anijize maana mapigo ya moyo yanabadilika kila nikiwaza Mabati
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nidhamu ya hela

    No comment!! umeuaaaa!
  3. I

    JamiiForums Tanzania HALOTEL nao waanza kufata nyayo za watangulizi wao

    Ni mtoto wa mkulima
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I miss those days

    wakati wa mbalamwezi usiku mnakaa chini ya mwembe mkisubiri maembe yadondoke baada ya popo kutingisha akitaka kulala,, likidondoka ni kugombaniana acha kabisa!!
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I miss those days

    Kwenda shuleni na kiti cha jikoni na ufagio mkononi
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I miss those days

    Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa duuuuh! halafu hiyo picha inabandikwa ukutani ndani inakuwa ndiyo albam,,,
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa Kike

    He! fukunyungu uliadimikia wapi??
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I miss those days

    Jamani hivi kitufe cha like kilishaondolewa???? au ni mimi tu?
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I miss those days

    yeke yeke hayakuwa mashati mkuu,, ilikuwa ni aina ya muziki nadhani (sikukuu inanukiaaa aaa, eeee kuwa yekeyeke!! hahahaaaaaaa
  10. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa awe kielelezo cha kuigwa katika kutimiza malengo yetu

    For sure,,,,
  11. I

    JamiiForums Tanzania Bado nakulilia Tanzania

    Pole,,, japo naona machozi yako ni sawa machozi ya samaki ndani maaji,, "maskini nchi yangu Tanzania"
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tuliokula ada za shule sababu ya Lowassa tukutane hapa

    Poleni sana,, nilikuwa sitaki kuamini lakini nimeamini kwa sababu jana kuna taasisi fulani ya elimu tunaidai kama ofisi, lakini nilichoambiwa na Bursal ni kwamba wanachuo bado hawajaanza kulipa ada wakati siyo kawaida yao, wanasubiri elimu bure ya EL kwa mantiki hiyo sasa naamini kuwa huenda ni...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Zee halina hata aibu, alikuwa wapi siku zote kama siyo umbeya?? maji yamezidi shingo, too late
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

    ndoa za siku hizi,,, kila kukicha hatuishi kusikia vituko kama siasa za Tanzania
  15. I

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamii forum mnatishaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom