House girl kufua boxer zangu ni sawa kweli?

Hawa wake zenu wa mlimani city na quality center watawacost sana. CHAUPELE wangu wa kwa mtogole haruhusu house girl kukaribia tu mlango wa chumbani kwetu achilia mbali kufua boxer.
 
Ni sawa kufua ndio maana zinatakata na pasi ikipita zinatoka maridadi!! hapo mke tu umepata ndugu yetu!
 
Hiyo ni dalili ya mke asiyejua majukumu yake,achilia kufua hata chumbani mnapolala housegirl hapaswi kuingia,inatakiwa mama au hata wewe mwenyewe ufagie chumbani kwako,sasa namna hiyo hata kitanda si mnatandikiwa?Na kwanini alikuwa anashika mshahara wa housegirl bila wewe kujua?Hajui huko ni kudhalilishana?Kwani ungekuwa huna hiyo hela nusu ingekuwaje?Na picha ninayoiona mkeo amekuona dhaifu thats why anakupandishia ukimuuliza maswali ya msingi ili usiendeleze kumhoji ila ni haki yako kujua ni kwanini alifanya na kukomesha hiyo hali.
Othe alternative mchunie maswala ya house girl afanye kazi yy mwenyewe hadi atakapojirekebisha.
 
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza swali hili kutokana na utaratibu uliopo nyumbani kwangu. Juzi nilikuta kuna ugomvi kati ya wife na house maid wetu, ambapo yule binti alikua amefura kwa hasira, kasimama katika mlango wa Chumba chetu akidai apewe pesa zake asepe usiku huo huo na alikua tayari ana begi mkononi.

Nikambembeleza, nikamuomba asiondoke usiku huo asubiri asubuhi, wife akatoka chumbani kama mbogo na kunigeuzia kibao kwamba kwanini nambeleleza kwamba nimwache aende na hapati hata senti, ukawa ugomvi mkubwa sana, ambapo binti kwa hasira akamjibu wife kuwa "" kama wewe ni mke bora usingeshindwa kumfulia mmeo hata boxer hadi unaleta kwangu, hufai""" kwa kweli sikuwahi kujua huwa anampa maid afue boxer zangu.

Huwa naona zimeshafuliwa na kupigwa pasi mimi navaa tu, juzi ndio niligundua hili suala, anyway yule binti alingangania kuondoka usiku ule kwamba yeye ni mtu mzima anajua anakoenda, tukaenda kwa Mjumbe nikampa nusu ya pesa anazodai zingine atarudia kama laki tatu hivi, kumbe siku zote nikitoa mshahara wife hampi anadai anamtunzia kwamba ataharibikiwa akimpa monthly.

Jana nikawa namuuliza wife kuwa kumbe boxer pia huwa unampa afue? Badala ya kunijibu kajikasirisha uongo na kweli ili tuiache hiyo mada, kwamba inakuaje nina mtetea housegirl hadi kufikia hatua kumbembeleza asiondoke, anyway hayo yakaisha.

Ila tu nikajiuliza swali hivi ni jambo la kawaida kwa maid kufua boxer zangu? Mimi ndio sielewi inavyokua maana wakati mwingine pale mbele ya boxer huwa panatengeneza miduara ya mabaki ya mbegu mara baada ya tendo usiku, yale matone huwa yanaendelea usiku na kukaukia pale.

Sasa ni sawa kwa housegirl kuifua nguo hiyo?

huyo mwanamke hafai kabisa,peleka kwa kiongozi wa dini au wazazi wake akafundwe,,pia mtafute huyo hausigeli umdadisi chanzo cha ugomvi wao ni nini maana yawezekana anajua mengi ambayo wewe hauyajui.
 
Hawa wake zenu wa mlimani city na quality center watawacost sana. CHAUPELE wangu wa kwa mtogole haruhusu house girl kukaribia tu mlango wa chumbani kwetu achilia mbali kufua boxer.

hapo umenena,,wanaume hawajui tofauti ya mwanamke na mke,,,wanawake ni wengi ila sio wote wanaweza kuwa wake,,usioe tu eti kisa anakata kiuno chumbani,,au kisa ana makalio makubwa,,,matokeo yake ni hayo,,maisha ya ndoa ni zaidi ya viuno na makalio
 
ndoa za siku hizi,,,
kila kukicha hatuishi kusikia vituko kama siasa za Tanzania
 
Hiyo ni dalili ya mke asiyejua majukumu yake,achilia kufua hata chumbani mnapolala housegirl hapaswi kuingia,inatakiwa mama au hata wewe mwenyewe ufagie chumbani kwako,sasa namna hiyo hata kitanda si mnatandikiwa?Na kwanini alikuwa anashika mshahara wa housegirl bila wewe kujua?Hajui huko ni kudhalilishana?Kwani ungekuwa huna hiyo hela nusu ingekuwaje?Na picha ninayoiona mkeo amekuona dhaifu thats why anakupandishia ukimuuliza maswali ya msingi ili usiendeleze kumhoji ila ni haki yako kujua ni kwanini alifanya na kukomesha hiyo hali.
Othe alternative mchunie maswala ya house girl afanye kazi yy mwenyewe hadi atakapojirekebisha.

Mke wangu ni zaidi ya huyo dada! Yaani hadi unajuta kuoa. Tabu watoto. Ndoa ni laana aisee...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom