Wadau Salaam!
Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
Kwangu mimi, kanzu ni vazi kama ilivyo tu Suti. Tofauti ni kuwa kanzu ina asiri ya Uarabuni na Suti ina asili ya Ulaya ila yote ni mavazi ya kawaida kabisa na haya ashirii chochote.
Ni kweli hata sasa hivi nimetoka kumsikia na huwa wanawika tu kipindi cha Masika! Uliza watu wa Tabora au wanaoishi kwenye mapori ya Miyombo ambako Nyoka aina hiyo wanapatikana kwa wingi.
Ndugu wana Jamiiforums
Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars) kwa kufuzu kushiriki fainali za kombe la Mataifa ya Africa zitakazofanyika nchini Morocco. Ni hatua nzuri na ya kujivunia kuona soka la Tanzania linazidi kukua na kuonesha mwanga mwema wa mafanikio. Pia ni...
Kama sijakosea kwenye uzi wako wa kwanza, wewe ndio ulimpenda na ukamwambia kuwa unampenda na akakujibu kuwa yupo kwenye mahusiano na anatarajia kufunga ndoa! Ukamjibu kuwa upo okay kwa hiyo hali na hutaharibu mahusiano yake! Sasa kelele za nini? Uliyataka mwenyewe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.