Mwalimu wa Primary anahitajika

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,475
1,672
Wakuu anaitajika mwalimu mmoja wa primary awe wa kiume. Please tunataka wa kiume maana walimu wa kike wapo wa kutosha.

Awe na experience, shule ipo mkoa wa Simyu.

Karibu pm, weka namba ya simu utapigiwa, as soon as possible.
 
Tangazo limenyooka na linaeleweka.....Walimu wa kiume jitokezeni mchongo huo
 
toa maelezo ya kutosha,...ni private, malipo, simiyu wilaya gani, toa adress simu, n.k
 
Wakuu anaitajika mwalimu mmoja wa primary awe wa kiume. Please tunataka wa kiume maana walimu wa kike wapo wa kutosha.

Awe na experience, shule ipo mkoa wa Simyu.

Karibu pm, weka namba ya simu utapigiwa, as soon as possible.
Yupo ana uzoefu zaidi ya miaka 15
 
Wakuu anaitajika mwalimu mmoja wa primary awe wa kiume. Please tunataka wa kiume maana walimu wa kike wapo wa kutosha.

Awe na experience, shule ipo mkoa wa Simyu.

Karibu pm, weka namba ya simu utapigiwa, as soon as possible.
Mimi ni mwalimu wa secondary nina diploma nimewahi kufundisha shule ya msingi kipindi cha hayati Raisi Magufuli 0683850
 
Vip kashapatikana mwalimu, nimeacha contact lakini sijapata mrejesho 0683850450
 
Back
Top Bottom