Kama lengo kuwa na sever hapo ni mtaji tu ,wala haihitaji elimu kubwa sana ,Mfano wamiliki wa Google ,Facebook ,twitter na nk ,hawa walianza kidogokidogo baadae wavyokuwa wanaendelea wakaajiri wataalamu wa kuweza kumanage biashara zao ,Kwahiyo wewe kama una mtaji unaweza kuanza kidogokidogo kwa...