Biobenga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 394
- 533
Fuata hyo link, kama sijakosea unatumia windows 10Ndo nafanyaje ndugu yangu
How To Delete Or Forget Wireless Network Profiles In Windows 10
Fuata hyo link, kama sijakosea unatumia windows 10Ndo nafanyaje ndugu yangu
Hapana ndugu natumia windows 7 ndugu yangu.Naomba msaada wako hapoFuata hyo link, kama sijakosea unatumia windows 10
How To Delete Or Forget Wireless Network Profiles In Windows 10
Tengeneza profile mpya, kwenye simu yako"No Internet Access"
Wana nini hawa voda na nitafix vipi naombeni msaada.
Apn ipo sawa? Sio ya wap?Habari Mimi natumia azumi l4k smart kitoch cha Voda.
Nimecreate Hotspot inapiga mzigo kwa line zingine zote ila nikiweka ya Voda na kuconnect kwa PC inaleta ujumbe "No Internet Access"
Wana nini hawa voda na nitafix vipi naombeni msaada.
CC: Mwl.RCT Chief-Mkwawa ymollel Njunwa Wamavoko Joe Nyandigira
Huwa Nafanya kucreate new APN siku zote maana default apn hata kwa simu haifanyi line zingine fresh ila voda ndio majanga.Tengeneza profile mpya, kwenye simu yako
Weka APN: internet
ipo sawa nilicreate profile mpya.Apn ipo sawa? Sio ya wap?
HaisaidiiTengeneza profile mpya, kwenye simu yako
Weka APN: internet
View attachment 1928943
Kisha gusa namba 3, Then Save
Habari Mimi natumia azumi l4k smart kitoch cha Voda.