Kumekuwa na wimbi wa Matapeli wanaojifanya watumishi wa TRA wakiwapigia wafanyabiashara kulipa kodi wakijifanya watumishi wa TRA.
Juzi wakati wa jioni kuna mtu alinipigia simu na akaniuliza kuwa wewe ni fulani mimi nikajibu ndiyo.
Akaendelea kuniuliza kwanini hujalipa kodi. Mimi nikamuulza,weweni nani?.
Akaendelea kueleza kuwa yeye ni mtumishi wa TRA. Nilipoendelea kumhoji nikajua ni Tapeli na nilipowauliza wenzangu wenyewe pia wanasema wamepigiwa simu na hao matapeli.
Hivyo nawatahadharisha kuwa kuweni macho sana na hawa matapeli na nitapeleka simu ya huyu tapeli katika ofisi ya TRA hapa Mwanza.