Recent content by ISOSTACY

  1. I

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba, Dkt. Juma Homera: Mchakato wa Katiba Mpya utaanza baada ya Maridhiano, muda ukifika Rais ataeleza

    Mlipata 98%,sasa mnaridhiana na nani?.hao 2% wasiwasumbue vichwa vyenu.nyie subirini tu wakati sahihi uwadie ndio mtajua hamjui.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    Pole kwa kuumizwa na mtu uliyemuamini kama rafiki.hayo yamepita.songa mbele
  3. I

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Kinyeji Simiyu Tumechoka na michango ya Mwenge

    Jibu mapigo kwa kuwapiga na tunguli,fyeka wote wanaokusumbua.
  4. I

    JamiiForums Tanzania HOJA Vigezo Vipya vya Kujiunga na Diploma ya uuguzi viko juu sana

    Pole mkuu,lakini ukweli mchungu mtoto wako hajiwezi kimasomo.mitihani ya siku hizi ni rahisi sana hivyo yeye kupata D inaonesha uwezo wake ni mdogo mno
  5. I

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Ccm tuliwaonya mapema,nyinyi mmelaaniwa,mmewatia nuksi vijana.mlienda kufanya nini?
  6. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Kampala (KIUT) aamuru Wanafunzi wapige magoti wakati anafundisha

    Mnakubali vipi kupelekeshwa na MTU,MTU mwenyewe mnaigeria,unapigishwa magoti mtu uko chuo?.hebu hakiki vizuri hapo ulipo sio darasa la sita B kweli?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Majina ya hawa watoto waliouliwa…..

    Inasikitisha sana.hii hali hawa wajinga wanaojiita ccm kuna siku watalipia gharama ya uhalifu huu.unaua ili utawale una akili kweli?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

    Sema sana,Cheka sana.ila omba Mungu yasikukute
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyewahi kupambana na CHADEMA akashinda. Sisty Nyohoza utakuwa wa kwanza

    Sister (sisty) nyahozya ni wa kupuuzwa tu
  10. I

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Mkuu hawa watu hawajitambui.wao ni kudandia kila jambo.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Mmeanza tena,wale vijana waacheni wapambane wenyewe .Tanzania bila ccm inawezekana.wamefanya makubwa bila msaada wenu wana siasa Leo fainali ndio mnajisogeza.ccm mkitia pua tu hawa vijana fainali tunapoteza.nyinyi MNA laana kila mtakachogusa kinaharibika mpaka mtubu
  12. I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muswada wa Bunge la Marekani ni kuingilia mchakato wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai

    Inaumiza sana.ila IPO Siku ubaya wote utalipwa.
  13. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gwandumi Mwakatobe afariki dunia

    Watu wengi ni wazembe sana,mambo ya msingi kama haya kufuatilia media kubwa zenye uchambuzi kama DW,BBC etc ,hamna.yaani mchambuzi nguli kama huyu mtu anasema hamfahamu?.kama taifa ikiwa tunataka kusonga mbele tuwe na utaratibu wa kufuatilia mambo ya msingi.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Unapenda kuvaa Kofia? Style gani Unayoipendelea?

    Nzuri,tatizo matapeli wengi town ndio wanazitumia sijui kwa nini?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amuhakikishia Rais Samia waliohusika kifo cha Mchina kukamatwa

    Hivi hawa watu wanajitambua kweli,mamia ya watanzania wameuwawa,maelfu wamepotea,kila leo utekaji na hakuna waliokamatwa.kwa hiyo kifo cha mchina ndio kimewauma sana? Tuwe na utu
Back
Top Bottom