TANZIA Gwandumi Mwakatobe afariki dunia

TANZIA Gwandumi Mwakatobe afariki dunia

Kama alikuwa CCM kauli mbiu yetu ni "Kifo ni kifo tu asituletee taharuki hapa"
Wote wenye mawazo haya kama yako kuhusu GWANDUMI, basi sio wasikilizaji wazuri wa yale majadiliano huko RADIO DW. Sina shaka, kati ya wachangiaji waliokuwa hawapendwi na CCM, huyu alikuwa namba moja! Jamaa alikuwa anapiga spana, sio kawaida. Ningesikia kuwa "AMEPOTEZWA",nisingeshangaa!
Apumzike kwa amani GWANDUMI!
 
Watu wengi ni wazembe sana,mambo ya msingi kama haya kufuatilia media kubwa zenye uchambuzi kama DW,BBC etc ,hamna.yaani mchambuzi nguli kama huyu mtu anasema hamfahamu?.kama taifa ikiwa tunataka kusonga mbele tuwe na utaratibu wa kufuatilia mambo ya msingi.
 
Wote wenye mawazo haya kama yako kuhusu GWANDUMI, basi sio wasikilizaji wazuri wa yale majadiliano huko RADIO DW. Sina shaka, kati ya wachangiaji waliokuwa hawapendwi na CCM, huyu alikuwa namba moja! Jamaa alikuwa anapiga spana, sio kawaida. Ningesikia kuwa "AMEPOTEZWA",nisingeshangaa!
Apumzike kwa amani GWANDUMI!
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom