Recent content by Ishmael Samson

  1. Ishmael Samson

    Mwigulu Nchemba na Elibariki Kingu, hata undugu kwenu kwa Lissu umekufa?

    Mkuu achana nao hao ni kawaida yao wenye nao tunawajua na wakazi wote wa singida wanajua jinsi wanyiramba walivyo na roho mbaya wala usihangaike nao Kwan hujamwona Nyalandu Mwigulu na Kingu wanaleta ukabira
  2. Ishmael Samson

    Yanayoendelea nchini: Nape atupa madongo

    Mkuu hzo ni kelele zisizo na mpangilio na zitaisha mwisho wa siku maisha yataendelea
  3. Ishmael Samson

    Tundu Lissu is Very Expensive

    Kwa upande wangu nilishasema siku nyingi kuwa ningekuwa kiongozi wa nchi ningemuwekea walinzi wamlinde popote maana ni hazina ya taifa lkn cha ajabu eti kuna watu walikaa kwa ajili ya kujadili ili kuondoa uhai wake nimeshangaa Sana na nasema walaaniwe
  4. Ishmael Samson

    Sugu amchana Faiza,amwambia kama anataka rav4 aende WCB

    Mkuu kosea vyote lkn sio mwanamke pole Sana mkali vumilia tu wenye akili tunajua tatizo liko wpi!!
  5. Ishmael Samson

    Kula ugali usiku nacho ni kipimo cha umaskini

    Tatizo digital watu wengi walivyosikia ugali mawazo yao sembe hiyo ndio hukaa tumbon zaidi ya masaa24 sababu hata kabla hujala hyo ni takataka kula usio kobolewa ni dk45 kwisha viinlishe huenda mahali pake haraka Sana Nadhan nimeeleweka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Ishmael Samson

    Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

    Ina maana huko jina lipitalo majina yote YESU KRISTO huwa hatembelei huko haiwezekani mwenye nguvu za kuzimu atawale Naomba mwana wa MUNGU awatembelee mwache kuabudu ujinga Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ishmael Samson

    Wimbo wa Alikiba "Seduce Me" una kitu gani special?

    Mmh Mimi Sina ujuzi na haya mambo lkn nikivyouangalia sijaona chochote na wala sirudii kuangalia labda wajuzi watwambie cha maana! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ishmael Samson

    Hatimae: Serikali kutangaza zabuni mradi wa kufua Umeme mto Rufiji(Stiegler's Gorge) kesho kutwa

    Jpm wewe ni zaidi figisufigisu zote Mara mazingira si rafiki kwa mradi huo nia na madhumuni diri za Richmond ziendelee hongera Rais wangu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ishmael Samson

    Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

    Nakupa pole Sana lkn Kumbuka kazi ya Mungu haina makosa inaweza kuwa Mungu aliona ni mda mwafaka kwa ajili ya ufalme wake Amen Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ishmael Samson

    Kama sheria za ukamataji na madai zikizingatiwa hatuna chetu kwa Bombadia

    Kila siku bombadia Tumechoka hamna mada nyingine kitaifa na kimataifa hyo mambo ni kawaida tatizo hamna kazi na hamjishughulishi kutafuta kazi ubongo unafikiri bombadia pole Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ishmael Samson

    Asilimia 30 ya wabunge wa Bunge la Tanzania hawajulikani walisoma wapi au wana taaluma gani

    Eti Maji marefu cjui yana km ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ishmael Samson

    Asilimia 30 ya wabunge wa Bunge la Tanzania hawajulikani walisoma wapi au wana taaluma gani

    Korogwe zote polen Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ishmael Samson

    Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

    Ushamba tu hata ukienda Malawi utasifia tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ishmael Samson

    Mchangiaji maarufu Radio One na ambaye pia ni Mganga achafua hali ya hewa

    Tatizo mkiambiwa ukweli mnakasilika Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom