Mwigulu Nchemba na Elibariki Kingu, hata undugu kwenu kwa Lissu umekufa?

Ukamuome mgonjwa kisha uje uzodolewe na mbowe/kwenye media!?

Hata nami nisingeenda wallaaah!!
 
Inasikitisha sana kuona hawa ndugu zangu wawili ambao kimsingi wote wawili ni wabunge ambao majimbo yao ni ya mkoa wa Singida, Tukimwacha ndugu yetu Lazaro Nyalandu lakini hawa watu wawili hatujawasikia hata mmoja kati yao walao akikanyaga Nairobi au akisikika kuwapa hata ndugu wa mgonjwa pole.Basi hata wangeonesha ile roho ya huruma na upendo kwa ndugu yao.

Itikadi ya kisiasa tu ndio inatufikisha huku? Hakika inasikitisha sana, sisi WANASINGIDA tumefedheheshwa sana na ukimya wa hawa ndugu zetu,tumechukia sana na tumegundua kua sio watu wazuri hata kidogo na hili sio jambo la kawaida kutokea.

Pamoja na Lissu kua na madaifu yake kama binadamu wrngine au kufanya kile ambacho ninyi mlikua hamkipendi, lakini kwa hali ya kiutu na ubinadamu hatukupaswa kufikia huku! Mmetuacha na maswali mengi sana vinywani sisi kama WANASINGIDA. Mlipaswa kua wabunge wa kwanza na mstari wa mbele kuhakikisha kua mwenzenu anasaidiwa kwa suala la matibabu.

Kama mkuu wa mkoa tu yuko msitari wa mbele kuhimiza wananchi kumwombea na kumchangia ndugu yetu Lissu, Je,ninyi ambao mlikua mkiiingia mlango mmoja wa bunge na pengine hata kula chakula meza moja mmeshindwaje kuambatana nae kwenye suala la matibabu? Hivi kwa hili mtajiteteaje jamani?

Ndugu yangu Mwigulu Nchemba ukiweka kofia yako ya uwaziri wewe ni mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi ndani ya mkoa wa Singida, nimekutaja wewe kwa sababu kwanza ni umaarufu halafu pia kiongozi ndani ya serikali, kwakweli juu ya hili umetuangusha sana ndugu yangu. Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi linalopakana na jimbo la Lissu, nae ameshindwaje kua karibu kwenye suala la matibabu ya mgonjwa?

Sisi WANASINGIDA hua ni wamoja kwenye masuala ya kijamii tukiweka itikadi zetu pembeni, sasa hawa ndugu zetu imekuwaje tena? Niseme tu wazi sisi tumeichukulia kama ni suala la chuki tu labda kuwe na jambo lingine lililowazuia wabunge hawa kuonesha upendo kwa ndugu yao.

Wachamungu siku zote honekana kwa kitendo tuu!
Ndio mjue aina ya viongzi mliona mkuu.Mungu huwa hana tabia ya kuficha mambo kama mkuu wa kaya alipopita Singida na kuponda sana Lissu na hata kuwaambia wapiga kura wake wasirudie kosa uchaguzi ujao,huku akiwamwagia sifa lukuki haya Mamwigulu na making wake!Sasa Mungu kawafunulia mubashara wanasingida nani kiongozi kati ya hao 3!Lissu amepigwa akiwatetea watz wote wakiwemo wa Singida.Kazi kwenu sasa!!!!!!!!!
 
Inasikitisha sana kuona hawa ndugu zangu wawili ambao kimsingi wote wawili ni wabunge ambao majimbo yao ni ya mkoa wa Singida, Tukimwacha ndugu yetu Lazaro Nyalandu lakini hawa watu wawili hatujawasikia hata mmoja kati yao walao akikanyaga Nairobi au akisikika kuwapa hata ndugu wa mgonjwa pole.Basi hata wangeonesha ile roho ya huruma na upendo kwa ndugu yao.

Itikadi ya kisiasa tu ndio inatufikisha huku? Hakika inasikitisha sana, sisi WANASINGIDA tumefedheheshwa sana na ukimya wa hawa ndugu zetu,tumechukia sana na tumegundua kua sio watu wazuri hata kidogo na hili sio jambo la kawaida kutokea.

Pamoja na Lissu kua na madaifu yake kama binadamu wrngine au kufanya kile ambacho ninyi mlikua hamkipendi, lakini kwa hali ya kiutu na ubinadamu hatukupaswa kufikia huku! Mmetuacha na maswali mengi sana vinywani sisi kama WANASINGIDA. Mlipaswa kua wabunge wa kwanza na mstari wa mbele kuhakikisha kua mwenzenu anasaidiwa kwa suala la matibabu.

Kama mkuu wa mkoa tu yuko msitari wa mbele kuhimiza wananchi kumwombea na kumchangia ndugu yetu Lissu, Je,ninyi ambao mlikua mkiiingia mlango mmoja wa bunge na pengine hata kula chakula meza moja mmeshindwaje kuambatana nae kwenye suala la matibabu? Hivi kwa hili mtajiteteaje jamani?

Ndugu yangu Mwigulu Nchemba ukiweka kofia yako ya uwaziri wewe ni mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi ndani ya mkoa wa Singida, nimekutaja wewe kwa sababu kwanza ni umaarufu halafu pia kiongozi ndani ya serikali, kwakweli juu ya hili umetuangusha sana ndugu yangu. Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi linalopakana na jimbo la Lissu, nae ameshindwaje kua karibu kwenye suala la matibabu ya mgonjwa?

Sisi WANASINGIDA hua ni wamoja kwenye masuala ya kijamii tukiweka itikadi zetu pembeni, sasa hawa ndugu zetu imekuwaje tena? Niseme tu wazi sisi tumeichukulia kama ni suala la chuki tu labda kuwe na jambo lingine lililowazuia wabunge hawa kuonesha upendo kwa ndugu yao.

Wachamungu siku zote honekana kwa kitendo tuu!
Kwani wanalo jukumu la kumsaidia? Isitoshe hao wote Ni wabunge wa CCM ambao hamtaki misaada yao. Mwigulu Ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayesimamia Jeshi la Polisi ambalo hamna imani nalo Na ambalo Mbowe analituhumu kuhusika Na shambulio la Lissu. Sasa msaada wao mnahitaji wa nini
 
Wanaandaa mpango mpya baada ya huu wa mwanzo kutofanikiwa na siku wakikutana ana kwa ana watamueleza kuwa hawakujua kama alipata matatizo na kumraumu mkewe Tls kuto wapa taarifa
 
Inasikitisha sana kuona hawa ndugu zangu wawili ambao kimsingi wote wawili ni wabunge ambao majimbo yao ni ya mkoa wa Singida, Tukimwacha ndugu yetu Lazaro Nyalandu lakini hawa watu wawili hatujawasikia hata mmoja kati yao walao akikanyaga Nairobi au akisikika kuwapa hata ndugu wa mgonjwa pole.Basi hata wangeonesha ile roho ya huruma na upendo kwa ndugu yao.

Itikadi ya kisiasa tu ndio inatufikisha huku? Hakika inasikitisha sana, sisi WANASINGIDA tumefedheheshwa sana na ukimya wa hawa ndugu zetu,tumechukia sana na tumegundua kua sio watu wazuri hata kidogo na hili sio jambo la kawaida kutokea.

Pamoja na Lissu kua na madaifu yake kama binadamu wrngine au kufanya kile ambacho ninyi mlikua hamkipendi, lakini kwa hali ya kiutu na ubinadamu hatukupaswa kufikia huku! Mmetuacha na maswali mengi sana vinywani sisi kama WANASINGIDA. Mlipaswa kua wabunge wa kwanza na mstari wa mbele kuhakikisha kua mwenzenu anasaidiwa kwa suala la matibabu.

Kama mkuu wa mkoa tu yuko msitari wa mbele kuhimiza wananchi kumwombea na kumchangia ndugu yetu Lissu, Je,ninyi ambao mlikua mkiiingia mlango mmoja wa bunge na pengine hata kula chakula meza moja mmeshindwaje kuambatana nae kwenye suala la matibabu? Hivi kwa hili mtajiteteaje jamani?

Ndugu yangu Mwigulu Nchemba ukiweka kofia yako ya uwaziri wewe ni mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi ndani ya mkoa wa Singida, nimekutaja wewe kwa sababu kwanza ni umaarufu halafu pia kiongozi ndani ya serikali, kwakweli juu ya hili umetuangusha sana ndugu yangu. Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi linalopakana na jimbo la Lissu, nae ameshindwaje kua karibu kwenye suala la matibabu ya mgonjwa?

Sisi WANASINGIDA hua ni wamoja kwenye masuala ya kijamii tukiweka itikadi zetu pembeni, sasa hawa ndugu zetu imekuwaje tena? Niseme tu wazi sisi tumeichukulia kama ni suala la chuki tu labda kuwe na jambo lingine lililowazuia wabunge hawa kuonesha upendo kwa ndugu yao.

Wachamungu siku zote honekana kwa kitendo tuu!
Hawa jamaa watakuwa vibaraka,nadhani ndio wapiga meza wakuu pale mjengoni wakiunga mkono hoja hata kama ya kipuuzi.anaekujali wakati wa shida ndio nduguyo hvo hawa jamaa wanatakiwa wapingwe na kila mwanasingida Mwenye akili timamu
 
Mkuu achana nao hao ni kawaida yao wenye nao tunawajua na wakazi wote wa singida wanajua jinsi wanyiramba walivyo na roho mbaya wala usihangaike nao Kwan hujamwona Nyalandu Mwigulu na Kingu wanaleta ukabira
 
Inasikitisha sana kuona hawa ndugu zangu wawili ambao kimsingi wote wawili ni wabunge ambao majimbo yao ni ya mkoa wa Singida, Tukimwacha ndugu yetu Lazaro Nyalandu lakini hawa watu wawili hatujawasikia hata mmoja kati yao walao akikanyaga Nairobi au akisikika kuwapa hata ndugu wa mgonjwa pole.Basi hata wangeonesha ile roho ya huruma na upendo kwa ndugu yao.

Itikadi ya kisiasa tu ndio inatufikisha huku? Hakika inasikitisha sana, sisi WANASINGIDA tumefedheheshwa sana na ukimya wa hawa ndugu zetu,tumechukia sana na tumegundua kua sio watu wazuri hata kidogo na hili sio jambo la kawaida kutokea.

Pamoja na Lissu kua na madaifu yake kama binadamu wrngine au kufanya kile ambacho ninyi mlikua hamkipendi, lakini kwa hali ya kiutu na ubinadamu hatukupaswa kufikia huku! Mmetuacha na maswali mengi sana vinywani sisi kama WANASINGIDA. Mlipaswa kua wabunge wa kwanza na mstari wa mbele kuhakikisha kua mwenzenu anasaidiwa kwa suala la matibabu.

Kama mkuu wa mkoa tu yuko msitari wa mbele kuhimiza wananchi kumwombea na kumchangia ndugu yetu Lissu, Je,ninyi ambao mlikua mkiiingia mlango mmoja wa bunge na pengine hata kula chakula meza moja mmeshindwaje kuambatana nae kwenye suala la matibabu? Hivi kwa hili mtajiteteaje jamani?

Ndugu yangu Mwigulu Nchemba ukiweka kofia yako ya uwaziri wewe ni mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi ndani ya mkoa wa Singida, nimekutaja wewe kwa sababu kwanza ni umaarufu halafu pia kiongozi ndani ya serikali, kwakweli juu ya hili umetuangusha sana ndugu yangu. Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi linalopakana na jimbo la Lissu, nae ameshindwaje kua karibu kwenye suala la matibabu ya mgonjwa?

Sisi WANASINGIDA hua ni wamoja kwenye masuala ya kijamii tukiweka itikadi zetu pembeni, sasa hawa ndugu zetu imekuwaje tena? Niseme tu wazi sisi tumeichukulia kama ni suala la chuki tu labda kuwe na jambo lingine lililowazuia wabunge hawa kuonesha upendo kwa ndugu yao.

Wachamungu siku zote honekana kwa kitendo tuu!
Tanzania ndio tumefikia hapa
 
Some people cannot win, no matter what! If they go to Nairobi they'll be accused of going there to finish the unfinished job, and if they don't go, it will be argued, "it's because they're behind the attack".
 
Inasikitisha sana kuona hawa ndugu zangu wawili ambao kimsingi wote wawili ni wabunge ambao majimbo yao ni ya mkoa wa Singida, Tukimwacha ndugu yetu Lazaro Nyalandu lakini hawa watu wawili hatujawasikia hata mmoja kati yao walao akikanyaga Nairobi au akisikika kuwapa hata ndugu wa mgonjwa pole.Basi hata wangeonesha ile roho ya huruma na upendo kwa ndugu yao.

Itikadi ya kisiasa tu ndio inatufikisha huku? Hakika inasikitisha sana, sisi WANASINGIDA tumefedheheshwa sana na ukimya wa hawa ndugu zetu,tumechukia sana na tumegundua kua sio watu wazuri hata kidogo na hili sio jambo la kawaida kutokea.

Pamoja na Lissu kua na madaifu yake kama binadamu wrngine au kufanya kile ambacho ninyi mlikua hamkipendi, lakini kwa hali ya kiutu na ubinadamu hatukupaswa kufikia huku! Mmetuacha na maswali mengi sana vinywani sisi kama WANASINGIDA. Mlipaswa kua wabunge wa kwanza na mstari wa mbele kuhakikisha kua mwenzenu anasaidiwa kwa suala la matibabu.

Kama mkuu wa mkoa tu yuko msitari wa mbele kuhimiza wananchi kumwombea na kumchangia ndugu yetu Lissu, Je,ninyi ambao mlikua mkiiingia mlango mmoja wa bunge na pengine hata kula chakula meza moja mmeshindwaje kuambatana nae kwenye suala la matibabu? Hivi kwa hili mtajiteteaje jamani?

Ndugu yangu Mwigulu Nchemba ukiweka kofia yako ya uwaziri wewe ni mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi ndani ya mkoa wa Singida, nimekutaja wewe kwa sababu kwanza ni umaarufu halafu pia kiongozi ndani ya serikali, kwakweli juu ya hili umetuangusha sana ndugu yangu. Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi linalopakana na jimbo la Lissu, nae ameshindwaje kua karibu kwenye suala la matibabu ya mgonjwa?

Sisi WANASINGIDA hua ni wamoja kwenye masuala ya kijamii tukiweka itikadi zetu pembeni, sasa hawa ndugu zetu imekuwaje tena? Niseme tu wazi sisi tumeichukulia kama ni suala la chuki tu labda kuwe na jambo lingine lililowazuia wabunge hawa kuonesha upendo kwa ndugu yao.

Wachamungu siku zote honekana kwa kitendo tuu!
5likes@work
 
Back
Top Bottom