Nadhani hata majina ya mitaa yalishabadilika.Karibu tena Mwanza sasa kumenoga!
Nadhani hata majina ya mitaa yalishabadilika.Karibu tena Mwanza sasa kumenoga!
Na maghorofa mengi sanaNadhani hata majina ya mitaa yalishabadilika.
Duh nakumbuka yale ya Nyerere Road na Mwanza hotel na ya Bugando. La Bugando ndo lilikuwa lefu kuliko lolote Mwanza.Na maghorofa mengi sana
Unasali kule? Kule ni kwa Malisa Wale hapana, bora Malisa baba God mtoto wa National housing Nyakato ni hatari Yule ngoja nimuhifadhiKama uko Mwanza twende kuleeee michungwani kwa baba God nasikia huwa anajua sana kukemea watu wenye tabia kama za akina Asha, tehe tehe tehe.
Hapana mie nasali pia nina sadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitumeUnasali kule? Kule ni kwa Malisa Wale hapana, bora Malisa baba God mtoto wa National housing Nyakato ni hatari Yule ngoja nimuhifadhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii bado haijafika kwa Simbachawene, Asha anatakiwa kudhibitiwa na AFISA TAWALA wa mkoa au hata Maafisa utumishi, huyu hata kwa RAS hana sababu ya kufikishwa huko! ni mtumishi wa hali ya chini sana, basi tu anajishaua.Kama na waziri wa tawala za mikoa anaogopa kurogwa basi . Njuga hii akasimiwe madaraka Lukuvi au Mukulu atawaondoa wote wanaoshindwa kulinda heshima ya mkoa bila kuacha mkuu wa mkoa mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumsifu Yesu kristo! Wale sio watu WA kawaida kuna watu baba God amewarudisha kwenye umaskini wazazi wao waliwaacha vyema ati wakilipwa pesa za pango wanapeleka kuombewa subiri mtifuano wa kurudi kwa pesa majangaHapana mie nasali pia nina sadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume
bado hujalogwa eeeHapana mie nasali pia nina sadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Afadhari na mwanza tumepata Asha wetu maana dar mlikuwa mnatutisha na Asha Ngefere na sie tumepata ASha matusi tena kwa mkuu wa mkoa, safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
bado bado shostbado hujalogwa eee
Milele Amina mkuu. Mie nitafia ukatoliki wangu sing'oki ng'ooooTumsifu Yesu kristo! Wale sio watu WA kawaida kuna watu baba God amewarudisha kwenye umaskini wazazi wao waliwaacha vyema ati wakilipwa pesa za pango wanapeleka kuombewa subiri mtifuano wa kurudi kwa pesa majanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina Mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe na Bwana wetu Yesu Kristu.Ina maana huko jina lipitalo majina yote YESU KRISTO huwa hatembelei huko haiwezekani mwenye nguvu za kuzimu atawale Naomba mwana wa MUNGU awatembelee mwache kuabudu ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaahaahahahah, Labda Asha ananipangia makombora, sina uzito wowote mweuuuuupeeeeee hahahahahanilikuja kuangalia kama umeamka, itakua nawe mzito eeeh
hahahhah, jana sikumrekodi, tena alikua anaongea kwa sauti kubwa kweli! sijui nilisahau vipi tu!tunaomba picha yake tafadhali na hata walau karekodi kake au hata full name maana tuna zile proof za ulonzi
basi leo neno kamwambie hio tabia ya matusi aiache naa akome asirudie tena. basi hatorudia tena.hahahhah, jana sikumrekodi, tena alikua anaongea kwa sauti kubwa kweli! sijui nilisahau vipi tu!