Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,570
- 16,017
Nape wa kuombea. Ana matatizo makubwa kiakiliOoooh ukiona kiza totoro kunakaribia kupambazuka
Simpendi nape ila napenda wanavyovurugana
Nape wa kuombea. Ana matatizo makubwa kiakiliOoooh ukiona kiza totoro kunakaribia kupambazuka
Simpendi nape ila napenda wanavyovurugana
Tushachoka na tweets zake analia lia kama mwanamke, hana impact yoyote ile. Lowassa was 100x powerful than him. But he's more wiser kakaa kimya.View attachment 594216
View attachment 594217
View attachment 594218
Katika ukurasa wake wa Insta Nape Nnauye ameandika haya. Pia ameweka picha akiwa na Lowasa akisema historia ni mwalimu mzuri.
Ujumbe mkubwa alioutoa Nape ni kusema " Ushetani huanzia pale unapowafanya watu kama vitu'
Mtamkumbuka baadae sana. Pole² hawezi mikiki ya kampeni. Anachoweza ni kununua madiwani.Nape ni zilipendwa, hana jipya wala mvuto tena........neymar wa barcelona kamwe hatokuwa sawa na neymar wa psg!
Leo mpo pamoja na nape????kweli walioita manyumbu hawakukosea ,,,,nape huyu huyu wa goli la mkono ,huyu huyu ugali umemwagika anajitia mipisho ,,,,,,watakaomuona anamaa ni manyumbu yasiyojua yametoka wapi na yanaenda wap kazi kwenu ufipaaKwa wale wasio elewa siasa za Afrika na hasa za CCM watamchukia Nappe...
Isn't bad to do the right thing at the right time...
Tupo pamoja na Nappe..... Iwe jua Iwe mvua.... Vita ya kupinga uonevu hupiganwa na majasiri sio wana historia.....
Hongera Nappe, Endelea kusema kwa niaba yetu, Pengine wakakusikia wewe
Nape alishawahi sema Lowassa in maiti haiwezi kuingia ikulu. Leo Lowassa amekuwa shujaa wa Nape..???
Wanasiasa hawatatuletea maendeleo zaidi ya chuki tuu. Maendeleo huletwa na wewe mwenyewe
Acha kutumia lugha ya nyumbani kwenu kwa mama yako, tumia lugha ya kistaarabu kujenga hoja.....Leo mpo pamoja na nape????kweli walioita manyumbu hawakukosea ,,,,nape huyu huyu wa goli la mkono ,huyu huyu ugali umemwagika anajitia mipisho ,,,,,,watakaomuona anamaa ni manyumbu yasiyojua yametoka wapi na yanaenda wap kazi kwenu ufipaa
Kweli mkuu. Hii ni ya long sana.mbona post yenyewe ni ya 08 Jun 2017.
Mtoa mada itakuwa una vinasaba na Kazi Ndegui