Recent content by Iramusm

  1. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

    Umegundua unabishana na hamnazo 😄. Bora kumuacha.
  2. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Yas (Tigo) unasumbua

    Maturities hela zenith nyie wezi , mtu unatuma wanakutumia meseji kuwa imefeli ukichek salio limekatwa, na customer care hampokei
  3. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

    Bado hujaomba msamaha au kutaka suluhisho kwa kumaanisha,na wazazi wako wanafeel hivyo, nenda nyumbani hapo ulipofukuzwa, kawaangukie wazazi, watakufukuza usiondoke, endelea kulia nao, wataona kweli umemaanisha na watakusamehe. Na pia kama kweli unataka msamaha, msamehe mama yako toka...
  4. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Baada ya mshahara kutoka watu wenye harusi wameanza simu

    Kanda ya ziwa ( Shinyanga,Tabora, Mwanza)
  5. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemuacha mume wangu yeye hataki kumuacha mkewe

    Hadithi yako ni nzuri, hongera
  6. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

    Ushamba sio dhambi, kwa hapo huna hoja
  7. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Hernest Briyock Malonga (21) has been offered to Simba for the left-back position

    Toa credit ulikocopy kwa MickyJnr, ni uungwana pia
  8. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Cleaner/Mtu wa Usafi Ofisini Anahitajika

    Jaribu kujali utu mkuu
  9. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

    Hahaaaa...Umemaliza. Mie ni shabiki wa Popoma ila Leo kapatikana .
  10. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Kunena kwa lugha ni nini? Na nini hutokea pale mtu anaponena kwa lugha?

    Kumbe wale Wasabato Masalia walikuwa sahihi , maana walitaka waende Ulaya kama Ureno, Ufaransa ,uingereza wakahubiri wakati wao wanaongea Kiswahili tu
  11. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Siyo kila mzazi anayeachiwa malezi ya mtoto peke yake katelekezewa makusudi, hapana

    Ngoja nikusaidie, iko hivi, mtoto no wako. Mama wa mtoto wako ameanzisha uhusiano mwingine, inawezekana sababu hujaonyesha kuwa na future naye. Huyo bwanake mpya kampa sharti la kukata mawasiliano/connection na wewe. Kikubwa kinachowaunganisha ni mtoto so hatua ya kwanza ni kumuhamisha mtoto...
  12. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Serikali isiajiri wahitimu wote kama wanavyoajiri walimu na kada zingine za afya bila interview?

    Cha kwanza jiulize kwanini walimu na hawafanyiwi interview? Ukipata hilo jibu ndo utajua kwanini kada zingiwe wanafanyiwa
  13. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba nijue stahiki za watoto wangu

    Nakushauri mrudie mumeo ndo salama yako
  14. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Wasabato huyu mama ni tapeli ni nani alimleta kwenye mikutano yenu?

    Huyo mama hana jina?
  15. Iramusm

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Bei gan malipo
Back
Top Bottom